mapenzi matamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyafwili

    Watoto wa Kitanga ni wazuri sana, kila nikifikiria wanaume wanao left-group inanifikirisha sana

    Habari wanaJF, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Hakika mungu ni fundi kama kweli yupo basi azidi kuwa na afya njema huko aliko 🙏, nilipata wasaa wa kutembelea jiji la Tanga, nikazunguka baadhi ya maeneo na vitongoji vyake, ukweli usemwe watoto wa kike kutoka tanga wameumbika kweli kweli:-...
  2. Unique Flower

    Mapenzi matamu sana

    Hivi wadau umewahi kuonja penzi la Mzee. Sio Mzee 50 nope 45 kurudi chini. Like 42 halafu anayejiweka vizuri Kwa mlo ,mazoezi na muonekano. Haloo kwanza Kwa harufu nzuri tu unadata ,bado mengineyo wazee wakikupa fulsa ya kuenjoy unaenjoy aisee sio nyie mnachezea kitu hadi mtu anaugua hii sio...
  3. De Professor

    Tujadili namna ya kutafuta pesa

    Wanajamvi nataka niwasilishe hoja kibabe Ni hivi kuna zile kauli ooh Mapenzi sio pesa, pawepo na upendo wa dhati basi, ooh ndani pawe na Amani na Upendo ndio kitu kikubwa nisawa. Ila tu nikazie Hasa kwa Mwanaume pambana uwezavyo uwe na visenti ili mkitaka kwenda Coco kula miogo unato tu cent...
  4. N

    Nimezama kwenye penzi la mjeda, sioni sisikii

    Habari wanajamvi, Acha niongee maana penzi limenikaba koo sifurukuti. Natamani kuhadithia raha nazopata jamani, sikuwahi dhani kuna mapenzi matamu hivi hasa kutokana na kutendwa huko nyuma jamani. Kwa kweli shikamoo mjeda laaaaa, ananipa kile mwanamke anatakiwa kupewa!! Ananijali ananitunza...
  5. Baba jayaron

    Alichonitendea mke wangu sitosahau

    Asalaam, Bila kupoteza mda, mimi na mke wangu tuna miaka kadhaa kwenye ndoa ila alhmdulillah ndoa imejaa mazuri meeeengi. ila ya leo kiboko... Tulipishana mida ya kuingia kazni yy aliingia usiku mm mchana tukakutana usiku mwingi asubuhi niliwahi ibadani mapema saana kushughulikia mambo flani...
Back
Top Bottom