Mapenzi kwa njia ya Mitandao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapenzi kwa njia ya Mitandao

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Hassan J. Mosoka, May 4, 2011.

 1. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Ndugu zangu nionavyo ni kuwa sisi waafrika watanzania in particular kutafuta wapenzi au wachumba kwa njia za mtandao hatuwezi kabisa na wala hili si letu ingawa tunajitahidi na kujaribu kulitekeleza.
  Moja kati ya sababu nyingi ni hulka yetu, mara nyingi mahusiano kati ya ke/me kuwa hayahitaji masimulizi mengi kabla yashike kasi, sisi ni watu wa moto na mahusiano yetu huongozwa na hisia kwanza (inner feelings) kabla ya tabia ya mtu mwenyewe. Mahusiano ya wazungu ambao hutumia muda mwingi mtandaoni kuelezea wapenzi wao watarajiwa like/dislike including interest ndio hasa wanaweza haya mambo manake wao interest huoana kwanza kabla ya feelings au sijui ndiyo tunaita mioyo kuopendana. wao wanaweza haya manake kama walikubaliana mmoja atakuwa anapika na mwingine anaosha vyombo siku hilo likibadikila linaweza kabisa kuwatenganisha tofauti na sisi ambao huingia kwenye ndoa bila aina hizi za makubaliano. Nashauri tuendelee na mfumo wetu kwa sababu una long lasting and loving relationship. Haya ya mitandao tuwaachie wazee wa majuu ambao ndo zilishakosa tafsri siku nyingi
   
 2. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Inawezekana bwana mbona wangu nimempata kupitia mtandaoni tena hapa JF :bange::bange:
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  May 4, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  kweli??
   
 4. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Mi nimempata kupitia WAYN na mambo safi kabisa
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Una uhakika na hicho nilichopigia mstari???Ungekua unatofautisha wanawake na wanaume ningekuelewa ila sio wazungu na waAfrika!!
  Nwy hamna formula maalumu ya vipi na wapi unaweza kumpata mwenza ambae hatakusumbua na mahusiano yadumu.....popote panapomfaa mtafutaji ni sawa tu!!!
   
 6. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  go back and do your research.....hapo uliposema sisi waafrika ni watu wa moto tunaongozwa na inner feelings sijui ulitaka kumaanisha wazungu hawaongozwi na inner feelings au inner feelings zinatokea kwa kumuona mtu na kuwa nae kila siku? navyoamini inner feelings waweza zipata hata kama humjui mtu wala hujawahi kumuona......mfano mimi kuna watu hapa JF, i have inner feelings with them but i have never and might never meet them in my life....:bange:
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  May 4, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180  Thread yako inaonesha msimamo ulonao juu ya kupata mpenzi kwa kupitia mtandao... personally sioni ubaya na kama hata tumeonana baadae akaonekana hafai hata ningempata kwa kuonana chances for it to not work iko pale pale... Naamini kua nawe waamini kua mapenzi hayana formula.
   
 8. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #8
  May 4, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,552
  Trophy Points: 280
  kama unaokutana nao kila siku imeshindikana hao wa mbali inahitaji juhudi ya ziada to make it work.....................kumbuka fimbo ya mbali haiuwi nyoka............
   
 9. Somoe

  Somoe JF-Expert Member

  #9
  May 4, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 757
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 60
  Mie wala sioni tofauti ya wazungu na waafrika. Wote wapo sawa kuhusu feelings za mapenzi. Kila mwanadam kila sehem anaitaji mtu wa kuishi nae, ila tuseme wazungu % kubwa wanataka mtu mwenye akili, mpenda maendeleo na mtaftaji, alafu ndio wanaangalia sura na mengine. Yaani wazungu wanamtazamo kama wale waafrika wa kijijini, hawataki mtu mvivu hata kama ukiwa mzuri kama nini.

  Juu ya kutangaza na kutafuta mke/mume ni la kawaida na la jadi kwa waafrika na kwa wazungu. Ila sasa wazungu wameona bora waweke mtandao, ili kuwaraisishia watu wanao tafuta wachumba. Ila tuseme mchumba kutoka kwa wazazi, au marafiki, anajulikana kitabia kuliko wa mtandaoni. sababu % kazaa ya watu mtandaoni wanatabia chafu, walaghai, waongo nk. Na % kazaa ni watu wa kawaida, na wenye tabia nzuri tu inachotakiwa kuwa makini tu, ukiona mtu haumuelewi, unaachana nae. Kama mtu anakupenda na unampenda, mengine yote uwa madogo tu, hamna cha mkataba, ahadi wala mkakati kama wa jobb. Tena wazungu hawawekeani ahadi kama unavo sema, wao ni raisi sana kwao kujichange ili wafit na wewe, na kile unachotaka kama hakito mcost. Na ahadi lazma uitimize ili uaminike iwe kwa muafrika au kwa mzungu. we mtoa mada unafkiri unakuwa na mtu alafu umuendeshe endeshe kama unavotaka? au akuendeshe endeshe? watu wa dizain hiyo wanamatatizo kichwani
   
 10. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #10
  May 4, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hongera shika sana ullichonacho
   
 11. e

  ejogo JF-Expert Member

  #11
  May 4, 2011
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  zama za sayansi na technolojia hizi. Sasa kama ukitumia njia za zama za mawe mihemuko ndio inakuwa ya taratibu!!
   
 12. PongLenis

  PongLenis JF-Expert Member

  #12
  May 4, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  inwezekana mkulu mi wangu nimempata face1000
   
 13. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #13
  May 5, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Haya ndo matatizo ya kuchanganya mapenzi na matamanio,kama unaongozwa na tamaa huwezi kupata mpenzi mtandaoni ila kama unaongozwa na mapenzi utampata popote hata gizani!!
   
 14. D

  Daudi mwinge Member

  #14
  May 7, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo letu sisi kwanza lazima tutest ukiuliza kwa nini utaambiwa sinunui mbuzi kwenye kiroba
   
 15. vena

  vena JF-Expert Member

  #15
  May 7, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapana...hii staili inawezekana but with time....inawezekena kwa mara ya kwanza mkakutana kwenye net but with time mkafahamiana vizuri na love likashika kasi kama kawa kaka...
   
 16. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #16
  May 7, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Haya mambo hatuyawezi tunaforce tu. ila kuna wachache wanacop nayo vizuri tu, ila wengi wanakurupuka
   
 17. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #17
  May 7, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Gaga big up. Mapenzi ya mtandaoni ni utata mtupu. Imagine anavyochat na wewe ndio anavyochat na wengine; kama yuko nje ya nchi basi akishuka kwenye ardhi ya tanzania ana diary yake ina wademu au wanaume zaidi ya 25, wote anataka kuwaona, akutane nao ili aanze uchakachuzi wa kujua nani anafaa.

  Nyie wenye bahati hiyo shukuru Mungu, ila kumbuka kabla ya kukuthibitisha ameshakutana na aliochat nao wengi kama si kulala nao pia. Watch out mapenzi ya mtandaoni ni feki some of them, kama huoni sasa hivi basi ujue utaona baadae.

  I BLESS YOU ALL GUYS. Have a nice weekend.
   
 18. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #18
  May 7, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Uzushi sana sana wewe chati jifurahishe wala usijaribu kabisa coz waliofanikiwa ni wachache sana
   
 19. k

  kautipe Member

  #19
  May 8, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  jamani kwa yule anayetafuta mke ama mume wa kweli njia zote ni sahihi.binafc nilihenya sana kupata mke wa kweli lkn nilipata msaada baada ya kusoma kitabu fulani kiitwacho NDOA YANGU NINGEJUA ambacho kimebainisha makosa makubwa tunayofanya kupata wenzi na kwa nini ndoa nyingi hazina amani na zinavunjika
   
 20. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #20
  May 8, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Tupe mifano mitatu waliofanikiwa kwenye mtandao na wanaishi kwa raha mpaka sasa
   
Loading...