Mapenzi kwa njia ya Mitandao

Tupe mifano mitatu waliofanikiwa kwenye mtandao na wanaishi kwa raha mpaka sasa

hapa lazima tujue lengo la umtafutae ni lipi je tamaa ama wataka kweli mwenzi ktk maisha? Kama si kwa tamaa bac mahusiano yanaweza kuanza popote ndio maana nimekushauri utafute hicho kitabu
 
hapa lazima tujue lengo la umtafutae ni lipi je tamaa ama wataka kweli mwenzi ktk maisha? Kama si kwa tamaa bac mahusiano yanaweza kuanza popote ndio maana nimekushauri utafute hicho kitabu
Poa takitafuta ila nimeona watu kama watano hivi wanaishia kuumia mioyo tu kwa uhusiano wa aina hii ndio maana naona haulipi sana ingawa kuna wengine wamefanikiwa. ni kwa mtazamo wangu tu
 
HAWAPO waliofanikiwa. sana wanaishi kinafiki tu ila siku moja watarealiieze kwamba hawaendani na kila mmoja atashika njia yake. Haya na wewe kautibe na utumbo wa kuku, baada ya kusoma ukapata mpenzi wa mtandaoni au wa kawaida? sisi tunataka ushuhuda wa ndoa ya watu waliokkutana mtandaoni .
 
Mke/ke anaweza patikana kwa njia nyingi na inategemea mtaishije kulingana na makubaliano yenu. mke wangu nilimpata kwa njia ya mobile cahrt na sasa tunaishi vizuri tu na sasa ni miaka 4 ya ndoa + 3 ya uchumba
 
Nakubaliana nawe kuwa mke ama mume aweza kupatikana kwa njia nyingi,na urafiki huwasogeza watu karibu hata wakajenga uchumba na kisha ndoa. Dada caroline ajue kuwa ndoa zavunjika kwa sababu nyingi kubwa kudanganyana. Kitabu hicho kimenisaidia sana kupata mke na nina amani na hata sasa ndugu zangu 2 wamefunga ndoa wkt 1 mkewe walijuana mtandaoni
 
Inawezekana kupata mke kwa njia hii lakini wake/waume inabidi mchunguzane kweli la sivyo mtapoteana
Unajua kumchunguza mtu kwenye net inakuwa ngumu japo mtakuwa mnaambiana interest zenu na mambo mengine ila mkija kuonana tu mnaweza amua muoane kwa kuoneana huruma au kwa tamaa labda muonekano umekuzingua hapo unafanya chapchap, mikucha inakuja kutokea wakati mnaishi sasa pamoja
 
Back
Top Bottom