Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,082
- 2,358
Jamaa mmoja alikua anamfuatilia binti mmoja aliyekua akisoma sekondary,wkt wa likizo alijikokota na kwenda nyumbani kwa wazazi wa binti huyo na kumkuta baba yake ambaye alikua akiwadhibit vilivyo mabint zake.jamaa kuona hvyo,akili ikamjia kichwan fasta akasalimia kwa heshima zote na akaomba kuona na jane{yule binti}.jamaa:jane una kile kitabu cha literature{fasihi}cha ''is it possible today?{neno today aliongezea ili kufikisha ujumbe kwa jane,tafsiri yake,leo inawezekana?}.jane:mmh mbona hcho sina labda kile cha this time tomorrow{kesho muda kama huu}jamaa akawa ameshafikisha ujumbe kwa jane na kuondoka salama huku wazazi wakiamini binti wao na yule jamaa wako makini darasani na wkt walikubaliana kukutana kesho yake bila wazazi kugundua.