Mdada wa barbershop!

vanus

JF-Expert Member
May 27, 2017
1,145
2,834
Majira ya jioni nimetulia kwenye liquor store ya mwanangu tunapata kinywaji mdogo mdogo.

Katikati ya story za mtaa, ghafla akatokea binti mmoja mzuri sana mrefu, maji ya kunde na hapo nyuma kafungasha si mchezo, na huu ndiyo ugonjwa wako, taa nyekundu ikawaka.

Yule binti alikuja kuomba chenchi ya 10,000/= jamaa akampatia, nikamtania.

Mimi: Jirani mbona siku hizi huonekani?

Binti: Akatabasamu nakujibu, "Wewe ndiyo huonekani jirani."

Mimi: Mambo yamekuwa mengi, weka namba zako ili tusipotezane kiasi hiki.

Bila hiyana mtoto na tabasamu lake zuri akadondosha namba zake nikazi-save.

Baada ya binti kuondoka mwanangu akacheka kinyama, akaniambia mzee wewe ni balaa, mwanamke hata humjui umechukua namba kirahisi hivyo? Nikamwambia ndiyo kazi zetu hizi.

Kesho yake nikamcheki mwanamke story nyingi sana, mwanamke anapenda kuchat sana, yupo social sana, ni mwanamke ambaye ukiwa naye huwezi kuwa bored, mnyamwezi sana. Siku hii sikugusia maswala ya mapenzi.

Ukaribu ulizidi ndani ya siku 3 na mimi nikawa nashauku sana ya kumla huyu mwanamke, maana anavutia sana. Mapigo fulani ya mbele, ule weusi wa Kimarekani na hilo tako hapo nyuma ndiyo nikapagawa kabisa.


Weeked moja niko safi mfukoni nikavuta waya mtoto akapokea simu, nikamwambia leo tafuta sehemu nzuri tukapate burudani na vinywaji, akaniambia swala dogo kuna club nzuri ya kishua tutaenda utaenjoy.

Mida ya jioni nakutana naye maeneo ya viwanja tukapiga pombe kali, mtoto akawaka sana acha aanze kumwaga mauno, washikaji wametoa macho tu mate yanawatoka, alivutia sana kwa kile kinguo chepesi alichovaaa.

Imefika mishale ya saa tisa usiku nikaona huu ndiyo muda sahihi wa kwenda kumwaga oil, kabla mtoto pombe hazijakata kichwani akaanza kuleta vipingamizi. Nikachukua usafiri mpaka lodge ya maeneo ya karibu hapo.

Tumefika tukalipia chumba nikaiingia na mtoto ndani huku akiyatingisha makalio yake kwa mbwembwe, mhudumu alikuwa wakiume akawa na yeye anashuhudia jinsi mwanamke alivyokuwa anajiachia akiwa anatembea kuelekea room.

Tupo room, mwanamke akavua nguo zote akaelekea bafuni kuoga mm bado udenda unanitoka tu, nikasema leo huyu mtoto napiga mpaka asubuhi.

Mwanamke baada ya kutoka bafuni na mimi nikaoga chap, nikarudi ile tuanze kumlaki shetani, mara ghafla demu akaanza kuleta vipangamizi fulani hivi, mara hatuwezi sex leo, bado sijakuamini, oh najihisi nimechoka ntakupa asubuhi, ikabidi nianze kubembeleza ili mtoto anionee huruma, maana nilimpania sana na yeye alijua hilo.

Mtoto akaanza kulegea mdogo mdogo, ile nimepanda juu yake nianze kazi zangu, nilihisi harufu moja kali mno amabayo sikuweza kuvumilia, nikamuuliza hapo hapo unaumwa? Akasema wewe bado mdogo huwezi elewa, ikabidi niwe mpole kwa jibu hilo, maana mwanamke ana 22, mimi nimempita parefu sana kwa umri.

Usingizi ulikata ikabidi nimsikilizie apitiwe na usingizi, nikaacha 10k pembeni yake incase asubuhi apate hela hata nauli, nikasepa zangu. Alikuja kunicheki kwa simu akasema aliambukizwa huo ugonjwa na msela wake ila mpaka leo hajapona na demu ni chombo.

Ushauri, tusiingiie kwa hawa watoto wa mjini kwa mawenge, maku zitatumaliza vijana.
 
chai
 

Attachments

  • 849D02FB-D528-4DB3-9CFB-F96C20F6B26E.jpeg
    849D02FB-D528-4DB3-9CFB-F96C20F6B26E.jpeg
    26.7 KB · Views: 39
Alikuona boya ndio mana akasema wewe mdogo huwa atuulizi ulizi maswali ya hovyo wakati wa kutafuna mbususu..anyway pole kwa kushiriki usambazaji wa uti sugu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mabinti wa Barbershop Wkend hawatoki out mapema maaana kazi zao zinawabana hadi saa 6 usiku. Hapo kutoka nae jioni jioni umetupiga fix mkuu
 
Alikuona boya ndio mana akasema wewe mdogo huwa atuulizi ulizi maswali ya hovyo wakati wa kutafuna mbususu..anyway pole kwa kushiriki usambazaji wa uti sugu.

#MaendeleoHayanaChama
Sawa fisi nimekuelewa, huchagui pakutemea
 
Daaa mkuu bora hujagusa ...

Juzi nimetoka kupima ukimwi ,UTI ,Gono ,kaswende ,maralia ....baada ya kufakamia demu flani mfanyakazi wa hotel kubwa hapa mjini ,Mimi nilipiga ila na ndomu lakin k zinauvundo balaaa .....nimekomaaa kufakamia madada yenye matako .....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom