Mbona huyo mzee mwenzangu ana viraka?
Au ni fashion inayokuja/
Huyo babu yake bhana wee tusidanganyane
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Ndio anapopumzika we unasema babu yake.
babu mtata huyoo anagonga viagra na mazagamazaga mengine...anakajaga eksileta mpaka mwishoHuyo babu akipiga kimoko atalala kama bata!
Huyo babu akipiga kimoko atalala kama bata!
Mbona hapo mbele kwa binti penye kigegedwa pamevimba sana?halafu hiyo pc 3 mbona kama mateja hivi...lol!
Mbona hapo mbele kwa binti penye kigegedwa pamevimba sana?halafu hiyo pc 3 mbona kama mateja hivi...lol!
Kusema kwamba huyo binti ana miaka 20?