Mapenzi hayana maana, bora niwe peke yangu

Hivi hawa watu wanaolia kisa mapenzi wanakua timamu kweli, au mie ndio sijui.
 
Mkuu hawq viumbe wasikie tu nlikua nakaza fuvu tu ila omba tu yasikukute kabisa nimepigwa nyundo ya utosi kweli waliokua wanatumia magunia ya mkaa sio wa kulaumu ata kidogo
Hata hivyo una moyo wa huruma sana na hawa viumbe, mimi nisingefika kote huko.

Kwanza ningempiga biti la uongo huyo jamaa, yeye mwenyw angegair ufikauni wake maana najua anaogopa kufa.

Pili huyo mwanamke unampiga vibao kisha unaomba msamaha tena na wewe tena duh.!
 
Acha kulia Lia bwana mdogo kwani kwenye kile kikao Kama wanaume tulikubaliana Nini huu mwaka?
 
Pole Sana wewe move on tu, Ila hasira yako kwa mmoja usitujumlishe wote,

We are not the same.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom