Mapenzi hayana maana, bora niwe peke yangu

Mapenzi hayana maana, bora niwe peke yangu

Nasema achana na hayo mapenzi utakuja kufa buree
 
Tatizo vijana mnachanganya true love na puppy love
1. Puppy lov inakuaga verystrong ila hai last longer nadhani ulikua humu mkuu

2. True love hii ni kwa ma legend tu survivors, ma ninja wenye survivalship skills kupendana uku sio lazima muhimu ni kuheshimiana na kuvumiliana tu huku hamna kuchunguzana huku hakuna butterflies huku kazi tu
 
Sifa za mke wa kumuoa mbona zipo wazi nyie mnafeli wapi??

Unamuona mdada kasuka nywel za 30 elfu, pamba kali + kujishebedua. Halafu eti unamuomba mahusiano.
Are you serious!???

Mke wa kumuoa bwana ambaye hata mm hiyo mbinu nimeitumia imeprove positive ni hii,

1. Chukua mdada ambaye hajasuka, yeye ananyoa tu kwa kinyoz.!
2. Amepiga pamba za mtumba hazizid elfu 15 juu mpaka chini.
3. Sura na shepu iwe ya kawaida ila inauelekeo unaweza kuiboresha baada ya muda.
4. Awe na imani katika Mungu wa kweli au awé anaenda kusali.
FULL STOP.

Sasa nyinyi endeleeni kuchukua waliopendezeshwa tayr mara nyingi huwa yupo mikononi mwa mtu au ametoka kuachik hao huwa siwawez.

Kuku wa kienyeji ni bora kiliko kuku wa kisasa.!
Mkuu hawa viumbe wasikie tu, nilikuwa nakaza fuvu tu ila omba tu yasikukute kabisa nimepigwa nyundo ya utosi kweli waliyokua wanatumia magunia ya mkaa sio wa kulaumu hata kidogo
 
Maumivu hata hayaelezeki nashukuru hakuwa na mimba yangu itakua ngumu ila ntasimama upya ila akili imestuck nimepigwa na usingizi mziitoo
 
Usingekubali kufanya nae mapenzi hadi umuoe, ona sasa amekuvua boksa amekuchezea halafu kakuacha.

Nasema uongo ndugu zangu!!?
Hawa viumbe ni complicated mno mkuu, yaani nguvu zote nlizopoteza kumpa mahitaji na kumwaga manii yangu spiritually imenifanya nimekua weak, anyway ngoja ninywe maji nitarudi.
 
Wee mzee hii meza unayoitingisha ina vinywaji vya gharama sana ohoo.
 
Usijali braza binadamu mara nyingi tunajifunza the hard way. Hapa wakina mzabzab tukiwaambia ukweli kuwa breki pumbuz sio mnabksha haya sasa ndio muyaone.

Wee katulie kule badoo na tinder not long utapata demu anagegeda kila mtu anaendelea na life lake.
Shukrani Mkuu, unajua unaweza kujikuta unakuwa mkatili tu na mlipa visasi kisa matendo ya hawa viumbe.
 
Shukrani Mkuu unajua unaweza kujikuta unakua mkatili tu na mlipa visasi kisa matendo ya hawa viumbe
Hamna sababu ya kuwa mkatili braza. La msingi ni kwamba tambua kuwa mwanamke ni chombo cha starehe tuu. Wako ukiwa unamgegeda akishaondoka mali ya wote.
 
Hamna sababu yakuwa mkatili braza. La msingi ni kwamba tambua kuwa mwanamke ni chombo cha starehe tuu. Wako ukiwa unamgegeda akishaondoka mali ya wote.
Naumia tu mkuu, bahati mbaya matukio yamekuja mfululizo as if yameambiana nahitaji kifua i believe ntashinda tu ngoja nilale mkuu huenda nkaamka na akili ingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom