Sifa za mke wa kumuoa mbona zipo wazi nyie mnafeli wapi??
Unamuona mdada kasuka nywel za 30 elfu, pamba kali + kujishebedua. Halafu eti unamuomba mahusiano.
Are you serious!???
Mke wa kumuoa bwana ambaye hata mm hiyo mbinu nimeitumia imeprove positive ni hii,
1. Chukua mdada ambaye hajasuka, yeye ananyoa tu kwa kinyoz.!
2. Amepiga pamba za mtumba hazizid elfu 15 juu mpaka chini.
3. Sura na shepu iwe ya kawaida ila inauelekeo unaweza kuiboresha baada ya muda.
4. Awe na imani katika Mungu wa kweli au awé anaenda kusali.
FULL STOP.
Sasa nyinyi endeleeni kuchukua waliopendezeshwa tayr mara nyingi huwa yupo mikononi mwa mtu au ametoka kuachik hao huwa siwawez.
Kuku wa kienyeji ni bora kiliko kuku wa kisasa.!