Hata hao wa one night stand pia ni watoto wa watu, basi ajiandae kuwadate watoto wa nguruwe 😂Hapo alipoandika kudate na mtoto wa mtu never,,,,,,,,, [emoji3]
😂😂😂 haya mambo hayataki hasiraNa atasahau kama alishatendwa
Eeh jamani🤣🤣Hata hao wa one night stand pia ni watoto wa watu, basi ajiandae kuwadate watoto wa nguruwe 😂
Tena akae kwa kutulia😂😂😂 haya mambo hayataki hasira
Ukikua utaelewa...Hivi hawa watu wanaolia kisa mapenzi wanakua timamu kweli, au mie ndo sijui.
Nimekunywa maji ya kutosha moyo umepiga mbizi nitazoea tuThat's love life experience. Safi sana kwa yaliyokukuta. ...
Mkuu hawa viumbe hapana aiseeMan down
We need Back up
Eagle one do you copy
Come with team alpha
Asap
Mkuu usicheke saizi ni UBAYA UBAYA TU[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1751][emoji1751][emoji124]
Bora ata ungemweka mimba! Sasa pesa amekula na muda amekupotezea hapo lazima ujisikie kichwa kimepigwa kwenye utosi. Angalia tu usivae chupi kichwani.Maumivu hata hayaelezeki nashukuru hakuwa na mimba yangu itakua ngumu ila ntasimama upya ila akili imestuck nimepigwa na usingizi mziitoo
UBAYA UBAYA tu saiziTena akae kwa kutulia
[emoji23][emoji23]Hata hao wa one night stand pia ni watoto wa watu, basi ajiandae kuwadate watoto wa nguruwe [emoji23]
Amna mkuu maana ingekua fimbo ya kunichapia kisa kijacho ila iyo hamna Mapambano yanaendeleaBora ata ungemweka mimba! Sasa pesa amekula na muda amekupotezea hapo lazima ujisikie kichwa kimepigwa kwenye utosi. Angalia tu usivae chupi kichwani.
Vipi umemkuta na kosa gani. Mimi ninavyojua kwa jisia ya Me ni Ke kuchepukaAmna mkuu maana ingekua fimbo ya kunichapia kisa kijacho ila iyo hamna Mapambano yanaendelea
😁😁😁😁Acha ujinga ujue [emoji16]
Mkuu kimekutokea nini aswaaa, mana mapigo uja katika kona tofauti tofauti.Naumia tu mkuu bahati mbaya matukio yamekuja mfululizo as if yameambiana nahitaji kifua i believe ntashinda tu ngoja nilale mkuu huenda nkaamka na akili ingine
Napitia wakati mgumu sana mkuu ani leo hii mimi ndo wakudondosha jozi kisa huyu mwanamkePole sana mkuu.
Wanawake ni Mashetani