Sawa we fikisha tu mbona nawe watayajua yakwako! Yule mdingi mwenye upara ng'ong'o watamjua nyumba nzima!,halafu na yule shemeji tumbotumbo badogo yupo au ndo mlishaachana..?
Dada nawe umezidi yani mpk wajaluo!! Mh! Usisahau niliwafichiaga Siri nyinyi ndo mlilazaga lile tuta la mihogo kukuepusha na zali tukasingizia ng'ombe na wazazi walikubali bila kuhoji kuwa ni ng'ombe kweli au la!.