Mapenzi basi tena

Mapenzi basi tena

user-online.png
umukagame

Yesterday 11:36
#1

Senior MemberArray


Join Date : 10th April 2014
Posts : 225
Rep Power : 348
Likes Received25
Likes Given9


icon1.png
Nimemuacha rasmi leo!
Habari z jumapili wakuu
Sasa ni hivi,baada ya kutoka club jana usiku na mpenz wangu leo nimeamua niachane nae rasmi!moyo wangu ndiyo umeamua hivyo sijashawishiwa na mtu yyte!
Tatizo linakuja ntakuwa na na nani,vijana walioniuproch hawana hela kivile so siwez kuwa nao,kuna wababa kama wa3 watu wazito wanantaka nafikiria niwe na mmoja japo simpend hata kidogo,nijiweke tu kwa mda,cz siwez kuwa alon au nifanyaje wapendwa coz siwez mpotezea mkaka wa watu muda nimeamua nimuwache atafute mtu wa dini yake awowe!
Nipeni ushauri
Usinitukane coz ndo lyf yangu​


Sasa hapa kataa kama huyo mbaba hajala vitu.
kama Dady wako ni mambo safi sasa kwanini ulikuwa una mind mshiko kihivi, wewe ndo ulijilengesha kwa hiyo miding ukaamua uchague mmoja mwenye mshiko mrefu na ukawa una du nae, KATAA NISIKIE NITOE USHAHIDI MWINGINE

wow thats why ur great thinker unakunywa bia????nidai kreti 1 kama soda poa
 
Hiyo namba yako walioteshwa hao walionayo?
 
Nimeamua niokoke sasa,mapenzi basi mibaba inanitamani tu nimefikiria sana mie bado mdogo sna,nikiendekeza starehe ntakufa mapema naichukia mibaba yote inayonisumbua kwa pesa zao nawachukia kutoka moyoni,nimeblock namba zao woooote!nimeamua kuwa peke yangu kwanza!
Na wote mnaonisumbua pm someni hapa sitaki usumbufu tena na kama una namba yangu usinipigie sm tena!huu ndio uamuzi wangu,

Nitafute nikupe dawa hiyo sio dawa
 
Karibu sana kwa yesu...yote yalikwisha pale msalabani, tena kunafuraha kubwa mbinguni kwa kukubali kuacha yote na kuwa mpya.... Ukiamua kutoka moyoni na kuishi maisha mapya ya kumpendeza mungu hutojuta kamwe take it from me
 
heheheh!! eti nimeamua kuokoka, mapenzi sasa basiii!!...nani kasema?....hata wachungaji wanagegeda tuuu
 
Back
Top Bottom