Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,167
- 10,226
Hehehee shosti tatizo mbinu na mikakati ya kujipromoti hakuna......
hebu nipe mbinu shogangu.
Hehehee shosti tatizo mbinu na mikakati ya kujipromoti hakuna......
Hawaujui mwili wangu
Pesa walikuwa wanakupa hivi hivi tu. Kupanga uongo ukakubalika ni kazi kubwa kuliko unavyofikiria. Kila wakati unaibuka na jipya. Sio wewe uliyetaka kufa? Umebadili mawazo?
Hujakosea
ahahaha, kwa nini nisiambiwe baba? kwani bado unaniweka akiba? lol
Uwe unaongea bafuni, au aandika. Hapa imekuwa kero.Nikisema nakuwa huru
kuja chap chap kabla sijakufata mwenyewe.
Haaaaa! Zali la mentali hilo muuza ubuyu mimi huyu huyu kweli, lol!!?? Hebu cheki PM tumalize mambo haraka!!
Nimeamua niokoke sasa,mapenzi basi mibaba inanitamani tu nimefikiria sana mie bado mdogo sna,nikiendekeza starehe ntakufa mapema naichukia mibaba yote inayonisumbua kwa pesa zao nawachukia kutoka moyoni,nimeblock namba zao woooote!nimeamua kuwa peke yangu kwanza!
Na wote mnaonisumbua pm someni hapa sitaki usumbufu tena na kama una namba yangu usinipigie sm tena!huu ndio uamuzi wangu,
Kama anacare mbona hakujali kumtafutiaa kazi mdogo wako mpaka mapedesheeee walimtafutiaaa!!???
Chana na hz habar bana mie sifi ma dady ananpenda ananihitaj sana
Uwe unaongea bafuni, au aandika. Hapa imekuwa kero.