Mapenzi basi tena

Mapenzi basi tena

hicho kichwaa cha habari kinatafsirika kama umeshafanya mapenzi mpaka mpaka basiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Una lako jambo na wala haiwezi kuniingia akilini usikute kuna mtu unataka kumuibia hapa. Yangu macho..time will tell.
 
umechagua njia sahihi, coz ukahaba ungekuua..
nimekuona tokea juzi unahangaika
 
afadhali mdg angu umemrudia mungu nitakuletea aTENZ ZA ROHONI upige mapambiiooo tuendelee kubreak the yoke...

HALELUUYAAAA
 
Eee kila siku jipyaa nasubirii keshoo utakuja na mpya ganiii
 
I hav ma money,,n ma dady anancare for everthing mibaba ya nin aaaaaggggrrrr

Kama anacare mbona hakujali kumtafutiaa kazi mdogo wako mpaka mapedesheeee walimtafutiaaa!!???
 
Back
Top Bottom