Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
kuna watu mna bahati zenu jamani. hata mwezi hujamaliza tayari watu washaonesha interest huko PM!! wengine miaka inakatika bila bila
We shosti una gundu kama mie lol
kuna watu mna bahati zenu jamani. hata mwezi hujamaliza tayari watu washaonesha interest huko PM!! wengine miaka inakatika bila bila
Mi na wewe tulimalizanaje?
Hapana, ila tu "Usiache mbachao kwa msala upitao bibie!" Siku zote wewe ni 'mbachao' wangu!!??
hhaahjaaj kweli file halifunguki
Nimeamua niokoke sasa,mapenzi basi mibaba inanitamani tu nimefikiria sana mie bado mdogo sna,nikiendekeza starehe ntakufa mapema naichukia mibaba yote inayonisumbua kwa pesa zao nawachukia kutoka moyoni,nimeblock namba zao woooote!nimeamua kuwa peke yangu kwanza!
Na wote mnaonisumbua pm someni hapa sitaki usumbufu tena na kama una namba yangu usinipigie sm tena!huu ndio
uamuzi wangu,
Nimeamua niokoke sasa,mapenzi basi mibaba inanitamani tu nimefikiria sana mie bado mdogo sna,nikiendekeza starehe ntakufa mapema naichukia mibaba yote inayonisumbua kwa pesa zao nawachukia kutoka moyoni,nimeblock namba zao woooote!nimeamua kuwa peke yangu kwanza!
Na wote mnaonisumbua pm someni hapa sitaki usumbufu tena na kama una namba yangu usinipigie sm tena!huu ndio uamuzi wangu,