Mapenz ya whatsapp..

Last edited by a moderator:

Wadada wa siku hizi dunia nzima hakuna anaependa mtu...ni noti kwanza mengine baadae..chezea wewe watu wanawekeza kama saccos vile
 
hako ka last seen kanaboa kwa kweli yaani...:A S 39:
 
yatakuja mengi na kaka ,dada, na wadogo wa whatsapp malimbukeni watalipuka na kila lijalo kurahisisha uzinifu wao
 
itakuwa vizur waje


1.Zima internet connection yako.

2.Fungua application yako ya WhatsApp, soma msg zote na utume msg unazotaka kutuma.
3.Funga application yako na washa internet yako. Mara tu utakaporuhusu internet connection WhatsApp itasync na servers na itatuma message zote ulizoziandika bila server kutambua ni wakati gani umesoma na kutuma meseji hizo.
Kwa watumiaji wa iPhone
Ni rahisi sana kwa watumiaji wa iPhone kutoalast seen
nenda settings>> Advanced>> Last seen Timestamp na uizime hiyo timestamp
Kwa watumiaji wa Android, BlackBerry, Windows Phone na Symbian phones wanaweza fanya hivyo kwa kutumia manual disable last seen kama nilivyoelezea hapo juu
 
hako ka last seen kanaboa kwa kweli yaani...:A S 39:

Hata mim kananiboaaa balaa hua kananiletea ugomvi kila siku mara ioo hiv huwa unachart na nan kila saaa oooh yaan we muda wote ni kushinda watsapp aaaaaarghrgrgrgf
 
asante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…