Mapenz ya whatsapp..

whatsapp haina tofauti na siasa!!
 
hyo ndio ipi mkuu watu8 ? Mi mgeni hapo
 
Last edited by a moderator:
Hommie mbona naona kama equation haijabalance. Huong wewe na Baba V mtakua mnaingilia mazungumzo yangu na Ennie?

cc Baba V Ennie

haaaa hommie, Ennie hawezi kuzungumza na wewe au kwenda hapo bila mimi. kama huamini muulize Baba V
 
Last edited by a moderator:
Kama huna pesa, wasichana wazuri utaishia kuwaita shemeji tu!!!!
 
nahitaji kulijua hilo jaman coz inanitesa sana hii kitu inaleta ugomvi usio wa lazima

yaah kama iphone kuna namna wanafanya mtu hata awe online haikuonyeshii yaan!

ngoja labda tutapa msaada hapa kwa wataalam.
 
hahaha huuu uzi nimecheka sana,, chezeya laki tano lol

baada ya kusema hayo, naomba wafuatao tuonane mchana huu bila kukosa: Ennie Baba V Asprin

Kuna maongezi mujarab kabla mambo hayajaharibika

Kuamka asubuhi na mwanamke raha sana:smile-big:
Ee bwana eeeeh
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…