Mapenz ya whatsapp..

Mkuu hapo ulimaanisha 'we do differ au we are different"? Sorry lakini

mie mara ya kwanza nilipita nikajua labda am deep in shallow water.
anyway hii lugha ya malkia lakini ilikuja kwa meli na sasa ndege. mwisho wa siku ni kuwa tumepata concept. hii ndio huitwaga contextual meaning kama sikosei.
 
Ha ha haaa sawa mkuu ila ukikutana na mwalim mzungu hajui hilo la malkia unapigwa ziro tu. Ila vzr kujipa moyo
 
Hommie mbona naona kama equation haijabalance. Huong wewe na Baba V mtakua mnaingilia mazungumzo yangu na Ennie?

cc Baba V Ennie
 
Last edited by a moderator:
lakin nasikia kuna namna wanafanya kwa settings unaweza kuondoa io kitu ya last seen!

kwa anaejua anielekeze mm nahitaji uo ujuz.
 
Hako ka statement eti seen at...... Huwa kanaumiza kwa kweli yan whatsup hudanganyi kitu hako kamekaa kimbeambea sana in short sikapendi
 
lakin nasikia kuna namna wanafanya kwa settings unaweza kuondoa io kitu ya last seen!

kwa anaejua anielekeze mm nahitaji uo ujuz.

nahitaji kulijua hilo jaman coz inanitesa sana hii kitu inaleta ugomvi usio wa lazima
 
Kwa mtindo huu bora kumtafuta house girl ye simu ya nokia ya touch tu inamtosha sana hamna haja ya whatsap wala nini.
 
tumieni Whatsapp+ Unlocked....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…