Mapendekezo ya CHADEMA juu ya Miswada ya Sheria za Uchaguzi ambayo Kamati ya Bunge inazuia yasisomwe Bungeni

Umeambiwa uwe unajibu kwa takwimu kama yule msafwa Choicevariable badala ya kuwa mbea mbea na hako kanamba la Uteuzi ulikopewa na Mganga wa Kienyeji 😂

Halafu wewe utakuwa ni Luclesia siyo Lucas kwa sababu hakunaga mwanaume Lijali anaogopa bangi
Takwimu zipi unazozitaka hapa wewe. Si nimekuwekea hoja nayoijadili hapa imetoka wapi na ni hoja namba ngapi.unataka nini zaidi au unapenda kutafuniwa kila kitu wewe umeze tu kama kinda la ndege
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nimesoma mapendekezo ya CHADEMA yaliyowasilishwa mbele ya kamati ya Bunge neno kwa neno, msitari kwa msitari na kifungu kwa kifungu.nimesoma kuanzia...
Tangu lini CHAWA akawa na akili ya kufanya uchambuzi?

Wewe bakia na uchawa wako labda unaweza kupata uteuzi.
 
Kwa hiyo kila binadamu akisikitika na chochote alete JF? We nani kwani na una impact gani kwamba ukisikitika unakuja kuitangazia dunia badala kuongea na wanaokuhusu?
Mimi ni mlipa kodi na ninapinga mapendekezo ya kihayawani na kijinga yaliyotolewa na CHADEMA yanayotaka kutuongezea gharama za kuwahudumia wabunge badala ya kupeleka kwenye miradi ya maendeleo itakayo leta tija kwa wananchi
 
Tangu lini CHAWA akawa na akili ya kufanya uchambuzi?

Wewe bakia na uchawa wako labda unaweza kupata uteuzi.
Jibu swali eqe mmawia .niambie kuna sababu gani na umuhimu upi kwa utafiti upi mpaka jimbo moja liwe na wabunge wawili? Kwanini CHADEMA wanataka kuongeza gharama na mzigo kwa mlipa kodi? Je ndio maendeleo hayo?
 
Ndivyo alivyosema Mnyika? Kwamba anataka wabunge wawili katika kila jimbo la Uchaguzi,mmoja mwanaume na mmoja mwanamke; na kwamba yule mwanaume...
Ndio wana CHADEMA walichokaa wakajadili na kupendekeza kuwa wanataka jimbo moja liwe linakuwa na wabunge wawili.kwa hakika CHADEMA wajinga sana.

Yaani wanataka kuongeza gharama kwa mwananchi bila sababu. Halafu hapo bado wanataka kuwe tena na viti maalumu.sasa vitu maalum kwa ajili ya nini wakati tayari kwa kila jimbo wamependekeza kuwe na mwanamke? CHADEMA wajinga sana.
 
CHADEMA hawajasema wanataka vikao vya bunge vipunguzwe wala malipo yapunguzwe. Wamesema, kwenye submission yao ya John Mnyika leo, wanataka kila jimbo liwe na wabunge wawili wa kuchaguliwa, mmoja mwanamke mmoja mwanamme.

Kwa hio, kwa mapendekezo ya CHADEMA, bunge hili la sasa la watu 400 linaenda kuwa na watu 800!

Tuwe na Rais wa kike na kiume basi! Na diwani mwanamke na mwanamke. Mana tunatafuta jozi za wawili wawili wa kwenda kuchumbiana kwenye vikao!

Ni mtu gani mwenye akili kichwani, wa chama cha upinzani cha nchi ya dunia ya tatu, ya watu masikini wa kutupwa, wachafu wenye njaa, wanaoshindia mihogo na maji machafu ya mitoni, biashara za masinia ya ndizi vichwani, boda boda na mama ntilie, anaependekeza kuongeza gharama za kutajirisha viongozi ???
Nasema hivi,, mapendekezo ni ya cdm, ww unatumia muundo wa kiccm. Cdm wanataka mfuko wa majimbo, unajua ni kwa namna gani utafanya kazi?

Hizo hela ambazo unaonyesha ni za masikini hadi Leo zinalipa wenza wa wastaafu, kama una uchungu nazo onyesha ulipoleta uzi wa kupinga matumizi hayo.
 
IMG_2941.jpg
 
Na wewe endelea na Gabliel wa Ufaransa!
Jadili vitu kama mtu mzima na kutoa ushauri na hoja kama mtu uliye pevuka kifikra na kimawazo na siyo kuandika vitu na kuzungumza kama vijana waliozibuka akili na kukosa malezi bora ya wazazi wao.

Ukubwa wa umri ni pamoja na kuonyesha uongozi katika kila jambo ikiwepo katika ujenzi wa hoja na kujadili hoja.siyo kuandika maneno ya kwenye kanga na vijiwe vya wavuta bangi.
 
Nakusamehe bure tu maana Mungu asema samehe na kuwabariki maadui zako na wale wakuchukizao.
Umekurupuka Kaka, hizo enzi zimepita.Angalia namna nyingine ya kuishi, mapema kabla uzee haujakuelemea.Kama mambo ni magumu sana, nenda ukawe hata CHAWA wa Mwijaku inaweza kuwa na tija kwako kuliko hii ligi unayoitamani.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nimesoma mapendekezo ya CHADEMA yaliyowasilishwa mbele ya kamati ya Bunge neno kwa neno, msitari kwa msitari na kifungu kwa kifungu.nimesoma kuanzia mwanzo hadi mwisho kwa kuwa mimi siyo mvivu katika kusoma na huwezi ukanificha jambo kwa kuliweka kwenye maandishi kwa matarajio kwamba sitasoma...
Weka open hapa jukwaani nakala ya hayo mapendekezo, ili twende sawa
 
Back
Top Bottom