Mapambio ya Pascal Mayalla

Mapambio ya Pascal Mayalla

Hahaha huyu naye mmnataka kumfanya achukiwe kama mkolomije.
Mungu keshawasikia, waandishi wajao watakuwa hawana matumbo. Inaelekea njaa nitatizo kwa waliowengi.
 
au ndo wale watoto wa mtaani wasio mjua baba?
Ee Mungu Tusaidie Na Sisi Tusio Mjuwa BABA Tupatie Dunia Yetu Tuwe Tunaenda Huko Maana Tuko Tofauti Sisi Tume Zaliwa Nje Wao Wamezaliwa Ndani, Sisi Mama Zetu Walikuwa Safarini,wao Mama Zao Walikuwa Sebuleni Tunakuomba Mzee Mtaani Tukusanye Wanao Tuna Nyanyasika Na Watoto Wa Ndani, Watoto Wa Mzee Ndani Wanatamba Jitokeze Basi Mzee Mtaani Utupe Faraja Ya Moyo
 
Njaa iliwafanya waseme lowasa sio fisadi wakati wao wao walichoma mafuta kuzunguka tanzania nzima na chopa kusema lowasa fisadi. Najuta elf 10 yangu niliyochangia mafuta pale nmc arusha 2009.
Oneni nyumbu wa Lumumba lowassa aligombea urais chadema 2009 au 2010 .
 
We


We jamaa una matusi sana, naangalia post zako zote hakuna ambayo itakosa neno la kuudhi, hivi ulilelewa na wazazi wawili kweli, au ndo wale watoto wa mtaani wasio mjua baba? Kila anaeenda kinyume na wwe lazima umtukane, sasa mayara ukaragosi wake upo wapi, pale yupo kazini matusi ya nni? Pole kama nimekuudhi
Ligha yako uliyoitomia kujibu you fall in the same category ya kutolelewa na wazazi wawili
 
Hujui argument yetu ni ipi!
Demokrasia ni nini. Je mtu akiamua kuwa Chadema ndo mtu zaidi kuliko anayekuwa CCM? Mwisho wa siku mnaonekana mapungasese kwa haya myaandikayo. Always anti demokrasia. Ant uhuru wa kujieleza wa wengine. Na mtu akiwa chadema au CCM lazima kuna siku atasema mapungufu ya chama chake. Haimfanyi kuwa nusu mwanachama. Mmefilisika sana. Mmekuwa kama ...... Mayalla mnamsema kwa kuwa hajajificha lakini nyie hatujui nyimbo gani mnaimba huko kupata ugali wenu wa kila siku. Aibu kubwa
 
Loh! Nimekuona leo katika maonyesho ya sabasaba na REA. Mapambio uliyoimba ya kuifagilia awamu ya tano ya JPM nikakuona kuwe kweli kumbe wito wa Bunge ulikukengeuza! Ukasema iungwe mkono 100 kwa mia! Mayalla ni Njaa!
Hajitambui huyo
 
Back
Top Bottom