Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 19,639
- 14,241
Kuna utofauti Kati ya kuandika au ku comment JF na uhalisia.
Njaa iliwafanya waseme lowasa sio fisadi wakati wao wao walichoma mafuta kuzunguka tanzania nzima na chopa kusema lowasa fisadi. Najuta elf 10 yangu niliyochangia mafuta pale nmc arusha 2009.Mtu akisema ukweli na kuamini na kusimamia sera za kweli chadomo wanasema njaa.
Mkuu imebidi nigoogle dah!Kama akitafutwa Mtanzania mwenye high level of Sanctimoniousness Namba Moja huyo anaweza akawa anaongoza kwa kila Mwaka hadi Tanzania itakapopinduka tena ambapo Yesu Kristo wa Nazareth aliye hai atakapokuja tena Kutukomboa.
REA yupo kama Engineer wa umeme au MC? FafanuaLoh! Nimekuona leo katika maonyesho ya sabasaba na REA. Mapambio uliyoimba ya kuifagilia awamu ya tano ya JPM nikakuona kuwe kweli kumbe wito wa Bunge ulikukengeuza! Ukasema iungwe mkono 100 kwa mia! Mayalla ni Njaa!
Una hakika gani hajakwaa ukuu ulio mzito kuliko alioukwaa Jelly Mulo... mbona nimelipenda hili jina! Kumbuka yawezekana kuna vyeo visivyoonekana wala kujulikana.Ha haa! Kweli maisha ni bahati. Jelly Mulo kapiga kelele wiki moja tu, kaukwaa ukuu. Huyu Mayalla kapiga kelele miaka na miaka lakini Hollah!
Wengi tumemshastukia huyu kikaragosi wa nduli katika juhudi zake za kusaka teuzi. Chezeya njaa Mkuu! Njaa ni kitu kibaya sana kwa watu wasiojitambua na kutokuwa na msimamo.
Loh! Nimekuona leo katika maonyesho ya sabasaba na REA. Mapambio uliyoimba ya kuifagilia awamu ya tano ya JPM nikakuona kuwe kweli kumbe wito wa Bunge ulikukengeuza! Ukasema iungwe mkono 100 kwa mia! Mayalla ni Njaa!

Sasa mkuu ulitegemea aseme nini mbele ya kideo?
Ana familia inamtegemea
Wengi tumemshastukia huyu kikaragosi wa nduli katika juhudi zake za kusaka teuzi. Chezeya njaa Mkuu! Njaa ni kitu kibaya sana kwa watu wasiojitambua na kutokuwa na msimamo.
Anaokoa uhai wake, asiopofanya hivyo dada Wakudadavuwa kwanza atafungia licence ya shughuli zake za rizki
Nimetoka kapa kwenye hii komenti.
Huuu ndo msimu wa mavuno kwa muheshimiwa mayalla, Hilo lizingatiwe.Loh! Nimekuona leo katika maonyesho ya sabasaba na REA. Mapambio uliyoimba ya kuifagilia awamu ya tano ya JPM nikakuona kuwe kweli kumbe wito wa Bunge ulikukengeuza! Ukasema iungwe mkono 100 kwa mia! Mayalla ni Njaa!