Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,752
- 21,974
Mleta mada acha unafiki, Pascal Mayalla ana maisha nje ya jamiiforum Kama wewe, alikuwa kazini kutafutia wanae ugali, maisha halisi ndivyo yalivyo, sometimes you side with authority to achieve your goals,
Msipende kuwaweka chambo wenzenu ili mfurahishe mioyo yenu huku mkiwasifu kwa kejeli kuwa ni "mashujaa". Everyone is responsible for his/her life, don't expect Pascal Mayalla to risk his life in order to make you happy!
Serikali ni ukuta ambao kiuhalisia kuutikisa inahitaji gharama kubwa ya kafara ya kujikana mwenyewe,
Acheni unafiki.
" If you can't fight them, join them"