Mapambio ya Pascal Mayalla

Mapambio ya Pascal Mayalla

Wengi tumemshastukia huyu kikaragosi wa nduli katika juhudi zake za kusaka teuzi. Chezeya njaa Mkuu! Njaa ni kitu kibaya sana kwa watu wasiojitambua na kutokuwa na msimamo.
Watu wa aina yako mtaendelea kuwa hasara kwa taifa. Hamna mawazo yoyote isipokuwa kusubiri flani katoa mawazo yake mtukane na kutweza. Yapo wapi mawazo yako ya maana kuliko ya Mayalla? Kutukana si kazi maana hakuna akuli inayotumika maana hata mwehu hutukana, lakini kufikiri na kupambanua lenye manufaa si la kila mtu kufanya bali walio jaliwa uwezo huo. Utaendelea kumsubiri mayalla aseme upate kutukana.
 
Tatizo lako wewe hayawani huoni ukweli wa maovu yanayofanywa na huyo nduli. Kudharau katiba, mahakama, bunge. Watanzania, kudhulumu wakulima, wafanyakazi, kukwapua hazina 2.4 trillions na kugomea uchunguzi huru, kutumia trillions kununua ndege na kujenga airport na kugomea CAG Assad kufanya audit kwa sababu kishakwapua nyingine. Wafanyakazi, wakulima, machinga na wafanyabiashara nchini wote wanalia, wananchi nchi nzima wanalia lakini JUHA wewe na MAJUHA wenzako wote hamyaoni maovu ya huyo aliyelaaniwa na Mwenyezi Mungu.

Hivi unapomjibu hayawani wewe unawekwa kundi gani! Tafakari.
 
Wengi tumemshastukia huyu kikaragosi wa nduli katika juhudi zake za kusaka teuzi. Chezeya njaa Mkuu! Njaa ni kitu kibaya sana kwa watu wasiojitambua na kutokuwa na msimamo.
Pasco amekengeuka toka 2015.
 
Loh! Nimekuona leo katika maonyesho ya sabasaba na REA. Mapambio uliyoimba ya kuifagilia awamu ya tano ya JPM nikakuona kuwe kweli kumbe wito wa Bunge ulikukengeuza! Ukasema iungwe mkono 100 kwa mia! Mayalla ni Njaa!
Paskali ana njaa?? Kumbe mtu kuwa na mtizamo tofauti na wako ni njaa! We zwazwa
 
Tatizo lako wewe hayawani huoni ukweli wa maovu yanayofanywa na huyo nduli. Kudharau katiba, mahakama, bunge. Watanzania, kudhulumu wakulima, wafanyakazi, kukwapua hazina 2.4 trillions na kugomea uchunguzi huru, kutumia trillions kununua ndege na kujenga airport na kugomea CAG Assad kufanya audit kwa sababu kishakwapua nyingine. Wafanyakazi, wakulima, machinga na wafanyabiashara nchini wote wanalia, wananchi nchi nzima wanalia lakini JUHA wewe na MAJUHA wenzako wote hamyaoni maovu ya huyo aliyelaaniwa na Mwenyezi Mungu.

Subiri cheo mkuu Toka kwa Mbowe. Huwezi kuwa mbwabwaji maneno hivi kama una kazi yako ya maana. Utakuwa mweka hazina.
 
Back
Top Bottom