Mapacha walikuwa watatu, kumkata mmoja pekee SI sawa

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,938
Reaction score
41,100
Salaam!

Mapacha watatu,Vijana wababaifu waliotutambia Enzi zile kwamba hatuwawezi kwa lolote ni yule wa Mtama, Tanga na Singida.

Sasa wajumbe wamekosea kumkata mmoja na kuwaacha wawili ndani,

Ombi: Tunawaomba wajumbe wamalizie kazi ikibidi watuongeze na mmoja zaidi wa pale Geneva ya Africa.

Nawasilisha 🙏
 
Wanajua na hawadhubutu kuwaleta wote maana wanaamini katika divide and rule
 
Waliobakizwa na wajumbe, NRNE 💪 🔥 itaondoka nao!

Tutaelewana tu
 
Nyimbo za kukatwa zitaimbwa nyingi sana baada ya tarehe 4 August.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom