Maoni yenu tafadhali....

Maoni yenu tafadhali....

Tatizo ni kwamba ulimwacha uliyekuwa naye kwa sababu hiyo hiyo. Ulidhani utampata wa kukuzidi kumbe wapi. Ukimwacha huyo jiandae kumpata mbabu wa miaka 69. Finish-aibu yako aibu yangu!!
 
Jamani naomba maoni yenu, nina mpnz wangu hatuna mda mrefu toka tumekuwa wapenzi, nimegundua yeye ni younger than 1 for two years, mm ni mshichana, tunapendana but binafsi nilikuwa nawish mwanaume wangu awe amenizidi kuanzia mwaka 1-5. Imekaaje hapo jamani? Age is nothing or its real matter?? Na ninataka nimwambie ukweli kuhusu hilo nione naye atalipokea vp, so far tuna miezi 5 toka tuanze uhusiano. Asanteni.

hebu acha uzamani; ili mradi mnapendana na kuheshimiana umri ucwe kikwazo kwenye mapenzi yenu.
 
Jamani naomba maoni yenu, nina mpnz wangu hatuna mda mrefu toka tumekuwa wapenzi, nimegundua yeye ni younger than 1 for two years, mm ni mshichana, tunapendana but binafsi nilikuwa nawish mwanaume wangu awe amenizidi kuanzia mwaka 1-5. Imekaaje hapo jamani? Age is nothing or its real matter?? Na ninataka nimwambie ukweli kuhusu hilo nione naye atalipokea vp, so far tuna miezi 5 toka tuanze uhusiano. Asanteni.
Duh umeshapata mwingine mara hii?kwanini hukumuuliza kabla hamjafikia hatua hii
 
yani nakuona jinsi unavolikoroga!
likiwe chungu ujue utalinywa bila sukari!
mi nipo hapa!
Likiwa chungu atakuja humu humu.utamu tu umemleta humu.Anatamani kuona upande mwingine wa mapenzi.au inawezekana kakutana na libaba poa
 
Hi!
Kwa nini unatamani upitwe umri? unafikiri bado kicho kitu ambacho ulitaka ukipate kwenye huo umri bado hukipati kwa huyu? Na unataka ujue reaction yake ili ndio ufanye nini? unafikiri akipuuza itakuwa imekidhi haja yako? na akionekana kutofurahia itakuwa nayo imekidhi haja yako? please tupe highlight.
Kachoshwa na kibamia.
 
Jamani naomba maoni yenu, nina mpnz wangu hatuna mda mrefu toka tumekuwa wapenzi, nimegundua yeye ni younger than 1 for two years, mm ni mshichana, tunapendana but binafsi nilikuwa nawish mwanaume wangu awe amenizidi kuanzia mwaka 1-5. Imekaaje hapo jamani? Age is nothing or its real matter?? Na ninataka nimwambie ukweli kuhusu hilo nione naye atalipokea vp, so far tuna miezi 5 toka tuanze uhusiano. Asanteni.
Do you have a second thought?i mean an alternative so perse? maana age gape unayozungumzia ni almost negligible so long as hiyo unayosema ni true love,go with the flow huna haja hata ya kuseek opinion kwa mtu yoyote,mind you "do not ask a doubtful qns to your partner,you will increase the doubt,anyway i was just thinking aloud sio necessary uchukue huu ushauri tuwasubiri maproo
 
Nyamagembe mbona hiyo siyo ishu kabisa. Kwanza kumpita mwaka mmoja si ni kama mnalingana tu. Mambo ya kupitana umri ni ya kizamani, cha msingi ni mapenzi ya dhati baina yenu, age is nothing but a number....... move on
 
Wala sijamchoka, i do love him.

sasa kama unampenda what is wrong with you baby Nyamagembe.

Endeleeni na maisha maadamu hakuna matatizo, unadhani mwenye umri mkubwa atakuja na tofauti gani, in short expect nothing new dada.

Mimi nikutakie kila la heri na huyu uliyenaye na kama ni swala la umri wewe sio wa kwanza hapa duniani au unahisi unambaka au kumbemenda.

All the best
 
kweli unanipenda halafu useme hivyo? No No you are not serious Mpwa wangu

I do real love him, nilitaka kupata maoni yenu ndugu zangu, na swala la kumwambia nilitaka ajue ili niwe na amani, coz siku akija kujua anawezakulipokea tofauti halafu itaniumiza sana. Asanteni wote, ushauri wenu nitaufanyia kazi.
 
Wanawake bhanaaa
dah mapenzi bana watu mnaanza mahusiano hamjuani majina ,wala umri muzee.ni malovee tu..damit! mi wangu diff ni 12 net mwanamke unatakiwa uwe mdogo bana
 
mmmh mwambie ila mimi sitaki mwanaume nimzidi hata dakika moja...nataka mkubwa
 
hata katika uumbaji adamu aliumbwa kwanza meeen
 
Kama unapenda utawekaje masharti?

dah mapenzi bana watu mnaanza mahusiano hamjuani majina ,wala umri muzee.ni malovee tu..damit! mi wangu diff ni 12 net mwanamke unatakiwa uwe mdogo bana
 
Back
Top Bottom