Maoni yenu tafadhali....

Maoni yenu tafadhali....

Nyamagembe

Member
Joined
Apr 23, 2013
Posts
24
Reaction score
4
Jamani naomba maoni yenu, nina mpnz wangu hatuna mda mrefu toka tumekuwa wapenzi, nimegundua yeye ni younger than 1 for two years, mm ni mshichana, tunapendana but binafsi nilikuwa nawish mwanaume wangu awe amenizidi kuanzia mwaka 1-5. Imekaaje hapo jamani? Age is nothing or its real matter?? Na ninataka nimwambie ukweli kuhusu hilo nione naye atalipokea vp, so far tuna miezi 5 toka tuanze uhusiano. Asanteni.
 
Nyamagembe... Yaelekea mahusiano yako ni ya amani saana na yasiyo na kasoro hadi unaanza kutafuta sababu za kuona kasoro. Kama siku zote hizi hicho hakikuwa kikwazo kwanini sasa wataka iwe kikwazo?

Kweli mwaka mmoja waona ni tatizo? Dear, kama you are happy with him wewe tulia. Watu wanalia katika mahusiano kwa mambo ambayo hayawezi tatulika, hili la kwako siyo tatizo as long as mwaishi vema, mwapendana na mna amani. Hata hivyo kumwambia si wazo baya ingawa pia yategemea.
 
Last edited by a moderator:
Kwani kuna matatizo yoyote yanayotokea/yaliyotokea ambayo wewe unayaona yanasababishwa na wewe kumpita yeye kiumri?

Binafsi sioni tatizo lolote katika hilo kwani kinachoangaliwa hapo ni jinsi gani mnavyoweza kuishi katika maisha ya furaha na amani, kwani unaweza kuolewa na mwanaume aliyekuzidi umri na msiweze kuishi katika maisha ya furaha na amani.

Kama mnaishi vyema na hakuna tofauti yeyote basi huna bhudi kuendelea kuishi na mpenzi wako, na kama kuna matatizo yanayorekebishika hamna bhudi mkaelezana na kuyamaliza.
 
Asante, nashukuru kwa maoni yako, na swala la kumueleza ni mapema mno au nimwambie tu ili nione response yake??
 
yani hakuna kitu sikipendi kama watu kushindwa kufurahia mapenzi kwa sababu zisizokuwa na maana!
sas umri unahukiska nini iwapo mpo okey!
kuna mahali uliona pameandikwa kanuni??
mpenzi wako ana shida na hilo??
mwanzo hukumjua kiasi hicho???
kwanini sasa iwe tatizo??
huwa mnayatafuta sana mauzauza kwenye malovee yenu!
JILIE RAHA banaaa!umri kitu gani??
 
Hi!
Kwa nini unatamani upitwe umri? unafikiri bado kicho kitu ambacho ulitaka ukipate kwenye huo umri bado hukipati kwa huyu? Na unataka ujue reaction yake ili ndio ufanye nini? unafikiri akipuuza itakuwa imekidhi haja yako? na akionekana kutofurahia itakuwa nayo imekidhi haja yako? please tupe highlight.
 
ushaanza sababu, huwa hamkawiii nyie, ukishamchoka mwenzio unatafuta visingizio vingii ili muachane
 
Age is nothing but number.

Kwani siku ya kwanza uliyomuonja uliona tofauti gani?
 
Asante, nashukuru kwa maoni yako, na swala la kumueleza ni mapema mno au nimwambie tu ili nione response yake??

Sioni tija yoyote ambayo inafanya uanze kudiscuss wewe kumpita umri.

Hapo sasa utakuwa unataka kuanzisha na kuyavumbua yale yaliyojificha na huenda ukazua mgogoro mkubwa.

Kwani mpenzi wako hajui kama umemzidi umri?
Na kama anajua umemzidi umri analiongeleaje sawa hilo?
 
yani hakuna kitu sikipendi kama watu kushindwa kufurahia mapenzi kwa sababu zisizokuwa na maana!
sas umri unahukiska nini iwapo mpo okey!
kuna mahali uliona pameandikwa kanuni??
mpenzi wako ana shida na hilo??
mwanzo hukumjua kiasi hicho???
kwanini sasa iwe tatizo??
huwa mnayatafuta sana mauzauza kwenye malovee yenu!
JILIE RAHA banaaa!umri kitu gani??

Hakuna kanuni, mpnz wangu yeye hajui mm ndo nimegundua his birthday was Feb, sio tatizo nawish tu kuliweka wazi nahofia asijekungundua baadae alafu akalipokea vibaya itaniumiza sana.
 
unamaanisha nikae tu kimya??

why shud yu tell him!??
yani unaanzaje kwanza??
like ''babe unajua we ni mdogo kwangu kwa mwaka mmoja??''
imagine awe anajua hilo siku nyingi na wala sio issue kwake,atajua wewe ndo unanona ni tatizo!
JUST LET LOVE LEAD THE WAY!
mengine yatajiset huko huko!
 
Hi!
Kwa nini unatamani upitwe umri? unafikiri bado kicho kitu ambacho ulitaka ukipate kwenye huo umri bado hukipati kwa huyu? Na unataka ujue reaction yake ili ndio ufanye nini? unafikiri akipuuza itakuwa imekidhi haja yako? na akionekana kutofurahia itakuwa nayo imekidhi haja yako? please tupe highlight.

Its just happened niliwish mwanaume wangu anipite umri, na pia kuna maneno kwamba wanawake tunawahi kuzeeka, nimesema nione response yake pengine nae ana principles zake jamani akajakujua akaniacha, itaniumiza sana, ndo maana nataka niliweke wazi mapema.
 
Saikolojikali lazima liwe linakutatiza pamoja na ushauri woooote utakaopewa hapa na kwa kulileta hapa its obvious limeshaanza kua tatizo kwako

Huna haja ya kumwambia pengine analijua hilo tayari
 
Back
Top Bottom