Maoni yenu SUV chini ya mil 35 budget

Maoni yenu SUV chini ya mil 35 budget

Ila mkuu kumik Gari ambayo hazilishi ya m35 , atleast kwa siku totol income yako iwe 200,000 had 400,000+

C kwamba utaishindw kui run hyo gari la hasha , ila huo mTaji mzuri
 
Kuna vitu ukiwa unafikiria sana hutovimiliki
 
Back
Top Bottom