Maoni yenu SUV chini ya mil 35 budget

Maoni yenu SUV chini ya mil 35 budget

Gari za kijapan zinazotrend bongo kwa sasa:
1. Mazda CX-5
2. Toyota Vanguard
3. Toyota Harrier
4. Mitsubishi Outlander
5. Subaru Forester

Gari za Ulaya zinazotrend
1. Land rover Discovery 3 na 4
2. Volkswagen Tourage
3. Ford Escape

Unaweza pia kuwaza pickup trucks:
1. Toyota Hillux
2. Ford Ranger
3. Volkwagen Amarok
Thanks chief zote hizi zipo kwenye budget ya mil 35 down? Hasa pickup? Kuna outlander 1 hapa nzuri kinoma noma sijajua performance yake ngoja nitakutag picha
 
Hivi kwa nini Kluger za mkononi zinauzwa kwa bei ya chini?
 
Upo japani ipi?Niko hapa Kumamoto nakusubili tutafute magari
 
BX007749_14ff6a93.jpg
kwakweli kwa ushauri mnaonipa mpaka sasa naishindanisha hii outlander 2016 facelift na mazda CX 5 ya 2015 sasa kwenye hizi mbili nipeni maoni hii outlander mwonekano naona wa kibabe premium kuliko CX 5
Maoni yawe deep kitaalam sasa kwenye performance, fuel, and daily practicability
BX007749_14ff6a94.jpg
 
Thanks chief zote hizi zipo kwenye budget ya mil 35 down? Hasa pickup? Kuna outlander 1 hapa nzuri kinoma noma sijajua performance yake ngoja nitakutag picha
Harrier na Vanguard hizi models za sasa budget ya 35m haitoshi, pickup nazo zipo juu ya hapo. Kama budget ni chini ya 35m labda Forester, Nissan Xtrail, Mitsubishi RVR, baadhi ya models za Toyota Rav4 na baadhi ya models za Harrier.
 
View attachment 3293212kwakweli kwa ushauri mnaonipa mpaka sasa naishindanisha hii outlander 2016 facelift na mazda CX 5 ya 2015 sasa kwenye hizi mbili nipeni maoni hii outlander mwonekano naona wa kibabe premium kuliko CX 5
Maoni yawe deep kitaalam sasa kwenye performance, fuel, and daily practicability
View attachment 3293213
Hapa sasa unaenda sawa na watanzania wengi, hizo gari wanazinunua sana. Ni wewe tu na taste yako.
 
Mkuu kama una kipato cha uhakika ishi na Subaru forester ...
NB;sijawahi miliki gari ila nina experience nazo kiasi
Subaru bana sijajua za hv karibuni ila ile nadhani SJ sijui niliwahi endesha ya Jamaa mmoja mwaka 2020 hivi aisee sikupenda seating position yake nilikuwa kama kwenye shimo anyway sijajua matoleo mengine
 
Gari za kijapan zinazotrend bongo kwa sasa:
1. Mazda CX-5
2. Toyota Vanguard
3. Toyota Harrier
4. Mitsubishi Outlander
5. Subaru Forester

Gari za Ulaya zinazotrend
1. Land rover Discovery 3 na 4
2. Volkswagen Tourage
3. Ford Escape

Unaweza pia kuwaza pickup trucks:
1. Toyota Hillux
2. Ford Ranger
3. Volkwagen Amarok
Mitsubish outlander nayo inatamba? Duuh…
Na hiyo harrier inayotamba kwa ss labda anakonda, yule pacha wake kashapoteza interest
 
Subaru bana sijajua za hv karibuni ila ile nadhani SJ sijui niliwahi endesha ya Jamaa mmoja mwaka 2020 hivi aisee sikupenda seating position yake nilikuwa kama kwenye shimo anyway sijajua matoleo mengine
Subaru forester zote seat possition yake ni changamoto sn, na haikupi visibility ya kutosha…
Wanazidiwa hadi na matoleo mengine km impreza na outback
 
Nilihangaika sana ..mwisho wa siku niliamua kufuata option njema niliyohisi moyo unapenda.
Kwa sasa nimeendesha hilo chaguo Kms 25,000 kwa Tanzania tu hapo,sijawahi lala njiani kwa tatizo lolote lie iwe pori iwe mvua iwe jua iwe milima.

Fuata unachoweza kumudu baada ya gari kuja mikononi mwako.
 
Feedback haijakamilika hii bila picha
 
Back
Top Bottom