Maoni yenu SUV chini ya mil 35 budget

Maoni yenu SUV chini ya mil 35 budget

S
Sawa mkuu.....
Namshauri aje na Toyota vanguard au Subaru forester ya 2014
Hapa sasa ndio umeshauri mkuu ila kuuliza upo Japan hujui uje na gari gani kwanza nikwambie ndugu Japan zinazoonekana barabarani sana ni gari ambazo hata Bongo pengine kuisaka unakuta anayo mhindi tu au hazizidi 10 ni matoleo mengi mapya ya miaka miwili mitatu nyuma? So mi gari hata ukiziona barabarani hapa unaweza usiwe na uwezo wa kuinunua.
 
Nissan patrol sx 3.0
We jamaa nimebidi nikaangalie hizo surf na Nisani patro sx duh. Hizo ndinga hapana kama hiyo nissan mzee mie sio profesa wa UDSM age Yangu Chini ya 40 unakuwaje na midudu kama hio
 
1.Rav 4 zile model za katikati sio old wala new model (kwa context ya kibongobongo)
2.Forester
3.Mitsubishi RVR
4.Suzuki Grand Vitara new model
5.Harrier au Kluger
Naimani umemaanisha Suzuki hii Sio
 
Attachments

  • 0705746A30240609W00101.jpg
    0705746A30240609W00101.jpg
    47.5 KB · Views: 22
  • 0705746A30240609W00103.jpg
    0705746A30240609W00103.jpg
    44 KB · Views: 17
  • 0705746A30240609W00106.jpg
    0705746A30240609W00106.jpg
    45.4 KB · Views: 26
Hapa sasa ndio umeshauri mkuu ila kuuliza upo Japan hujui uje na gari gani kwanza nikwambie ndugu Japan zinazoonekana barabarani sana ni gari ambazo hata Bongo pengine kuisaka unakuta anayo mhindi tu au hazizidi 10 ni matoleo mengi mapya ya miaka miwili mitatu nyuma? So mi gari hata ukiziona barabarani hapa unaweza usiwe na uwezo wa kuinunua.
Hahahaha 😆😆😆😆
Nilijua Huko Japan ni kama bongo kwamba ukiingia barabarani unakutana na carina Ti na IST kumbe sio kabisaa
 
Acha masihala mkuu kuna gari Tangu nifike Japan sijawahi ziona unaweza amini Anaconda inayovuma Bongo hio Harrier nishaziona 2 tu? Ist moja tu kuna ambazo ndio sijawahi ziona kabisa kabisa hata kwa dawa lakini haipiti dakika 10 ukiwa bongo kabla hujaiona. Harrier tako la Nyani sijawahionana nayo
 
1.Rav 4 zile model za katikati sio old wala new model (kwa context ya kibongobongo)
2.Forester
3.Mitsubishi RVR
4.Suzuki Grand Vitara new model
5.Harrier au Kluger
Ila hizi zote sio full suv by definition ni crossover. Ila ni machaguo sahihi hasa kwa mazingira yetu
 
Acha masihala mkuu kuna gari Tangu nifike Japan sijawahi ziona unaweza amini Anaconda inayovuma Bongo hio Harrier nishaziona 2 tu? Ist moja tu kuna ambazo ndio sijawahi ziona kabisa kabisa hata kwa dawa lakini haipiti dakika 10 ukiwa bongo kabla hujaiona. Harrier tako la Nyani sijawahionana nayo
Kweli sisi tunaishi dunia ya tatu
 
Kweli sisi tunaishi dunia ya tatu
Jamaa wana mazingira mazuri ya kumiliki gari za kisasa lakini gari za zamani kwao ni mzigo kuna kitu inaitwa Shaken (ukaguzi wa gari) kadri inavokula miaka inatozwa kubwa sana inawafosi waache magari ya zamani.

Pili wananunua magari kwa instalments yani option hiyo pamoja na trade in inafanya wawe huru kwa magari mapya
 
Aisee asante kwa elimu hii
 
Gari za kijapan zinazotrend bongo kwa sasa:
1. Mazda CX-5
2. Toyota Vanguard
3. Toyota Harrier
4. Mitsubishi Outlander
5. Subaru Forester

Gari za Ulaya zinazotrend
1. Land rover Discovery 3 na 4
2. Volkswagen Tourage
3. Ford Escape

Unaweza pia kuwaza pickup trucks:
1. Toyota Hillux
2. Ford Ranger
3. Volkwagen Amarok
 
Back
Top Bottom