Maoni yenu SUV chini ya mil 35 budget

Maoni yenu SUV chini ya mil 35 budget

Gari za kijapan zinazotrend bongo kwa sasa:
1. Mazda CX-5
2. Toyota Vanguard
3. Toyota Harrier
4. Mitsubishi Outlander
5. Subaru Forester

Gari za Ulaya zinazotrend
1. Land rover Discovery 3 na 4
2. Volkswagen Tourage
3. Ford Escape

Unaweza pia kuwaza pickup trucks:
1. Toyota Hillux
2. Ford Ranger
3. Volkwagen Amarok
Mitubishi outlander ile new model inasoma Tshs ngp mpaka kuingia mkononi? Na vipi kuhusu mafundi na matengenezo/spare parts?
 
View attachment 3293212kwakweli kwa ushauri mnaonipa mpaka sasa naishindanisha hii outlander 2016 facelift na mazda CX 5 ya 2015 sasa kwenye hizi mbili nipeni maoni hii outlander mwonekano naona wa kibabe premium kuliko CX 5
Maoni yawe deep kitaalam sasa kwenye performance, fuel, and daily practicability
View attachment 3293213
Maoni ninawaachi wengine lakini hii gari ni ya moto sana? Hiyo mpaka Bongo inahitaji bei gani?
 
Wadau habari zenu japo sijaja muda mrefu humu leo naomba mshuke hapo Maoni ya SuV isiyozi mil 35 ya kuishi nayo Mtanzania wa kipato Cha kati.

Nipo Japan kwasasa ila Narudi Nyumbani si muda mrefu nataka nizunguke mtaani nivute Chuma yakutua nayo Om hapo na bado sina maamuzi nitulie na Ipi. Karibuni
Mtaalam, nje ya mada. Natamani kurembelea Japan nikiwa na familia yangu. Vp kuhusu vivutio pamoja na possibility ya kupata visa ikoje? Ngumu au?
 
Kweli kwenye miti hakuna wajenzi. Upo kwenye magari ya kila aina (japan)halafu unatuuliza sisi kajamba nani bongo huku gari lipi zuri ununue, kweli?
 
Mtaalam, nje ya mada. Natamani kurembelea Japan nikiwa na familia yangu. Vp kuhusu vivutio pamoja na possibility ya kupata visa ikoje? Ngumu au?
Visa za kutalii boss naimani visa huwa hazina shida ni vema ufike ubalozoni kama upo dar au ingia kwenye website uone masharti yao ya visa za utalii (japan embassy Tanzania)

Vivutio nadhani kila sehemu haikosi maeneo ya kuvutua. Obvious japan inavyo kuanzia mount fuji, visiwa vya okaiddo hasa summer time nk but all in all unique culture za wajapan na foods
 
Back
Top Bottom