Maoni ya Dr. Lwaitama Kuhusu Hotuba ya Dr. Slaa...

Maoni ya Dr. Lwaitama Kuhusu Hotuba ya Dr. Slaa...

Vichaa na malofa ktk ubora wetu

Mkuu kuna watu hawajui kwamba ni kichaa tu ndiye ambaye huwa hamwogopi mtu yeyote. Ni kichaa ndiye aliyekuwa na ujasiri wa kumwambia mfalme kwamba anatembea uchi. Waliojifanya wana akili waliogopa kusema ukweli. Vichaa wa aina ya Lwaitama tunawahitaji sana!
 
Yaani tajiri amsaidie masikini awe tajiri kama yeye.?

Anaweza kukusaidia kupanda kdg sio lazma uwe kama yey kama ulikuwa unalals chin nw utalala ktandan na godoro saf,lkn maskin aliezngukwa na matajir hawez kukusaidia ww maskin mwenzake zaid nae atatka kuwa kama hao matajir waliomxngka na kukusahau ww
 
Yaani tajiri amsaidie masikini awe tajiri kama yeye.?

Kwa hiyo unataka kutuambia kwamba tajiri anataka azungukwe na jamii isiyojiweza kiafya na hata kuweza kufanya purchasing hata ya mahitaji ya kimsingi? Jamii ya aina hiyo (disposable population) inayotegemea kuishi kwa misaada inafaida gani kwa tajiri mfanya biashara? Tajiri angeoenda jamii inayojiweza ili yeye awe tajiri zaidi.
 
WATANZANIA WENGI TUMESHAAMUA KUWA HATUTAMCHAGUA LOWASSA KUWA RAIS NA AMIRI JESHI MKUU WA JMT, porojo tunawaachia wapumbavu.
Umeamua wewe, usitusemee Watanzania,km we na kizazi chako mnanufaika na ccm sisi wengine imetukifu....
 
Hilo ndio tatizo la elimu duni hama uliyonayo wewe masikini wa Mungu! Shahada ya Uzamivu yaani mtu kuitwa Doctor fulani ni utambulisho wa umahiri wake katika taaluma husika, sio mashindano ya ulimbwende! Kama unatafuta wauza sura wasiliana na Miss TANZANIA!


Lwaitama hana tofauti na kichaa hata ukimwangalia tu hana hadhi ya kuitwa Dr.
 
Kweli mafanikio kuyafikia lazima kuruka viunzi!
 
be blessed, umeongea fact

which fact labda? Mwalimu shida siyo ccm tu bali na wote akiwepo EL NA mwenzake Sumaye. Mabadiliko yanawezekana bila wao, wao na ccm ndio shida tusipoliona hilo tunajitoa ufahamu. Nani kadema kubaki Ukawa ndio uzalendo na kutoka huko ndio usaliti achenivporojo. Rais anatakiwa awe juu ya tuhuma zozote. Tanzania bora Inawezekana bila ya ccm na EL.
Asanten
 
Kwa yaliyotokea jana na maamuzi aliyoyafanya Dr. Slaa amejidhalilisha mwenyewe na kuwaangusha Watanzania wengi waliomwamini sanaa. Umejidhalilisha sana na umeshindwa kabisa kuiangusha CHADEMA na UKAWA kwa jumla. Wasaliti wote mtaisoma namba UKAWA oyee.
 
Mimi nimesikitishwa na kuhuzunishwa mno na hotuba ya dr. Slaa jana...kama nilivyosema kuhusu mwanangu Zito hapo nyuma na sema hivyo hivyo kwa rafiki yangu Dr Slaa sasa...wote ni WASALITI wa vuguvugu la uma la kukiondoa chama dola cha CCM madarakani...

Mimi kuanzia wiki iliyopita ni mwana chama wa Chadema...kadi nilinunua Dar es Salaam makao makuu ya Chadema DSM na nilikabidhiwa na mwanangu Benson Kigaila Dodoma , mji mkuu wa Tanania , Jumapili iliyopita wakati wa ufunguzi wa kampeni ya Benson Kigaila ya kuwania Ubunge Doadoma Mjini... Benson Kigaila ni kati ya wajamaa wengi tu ndani ya chama cha kibepari cha mrengo wa kati cha Chadema kilichoanzishwa na matajiri kama mzee Mtei na mwanagu Mbowe ambao, kama Ndg Lowasa , ni wazalendo matajiri wanaochukia umasikini na wangetamani kuwasaidia Watanzania wengi iwezekanavyo kuwa matajiri...

Inanikumbusha Prof Mohamed Babu mwaka 1995 alipotoa kauli mbiu ya let people be rich....Tena Lowasa ndani ya UKAWA si rahisi awe dikteita kama ambavyo angekuwa ndani ya CCM ..walau tutapata muungano wa serikali tatu na tuanzisha mchakato katiba upya ikiwa ni pamoja na kuanzisha mchakato wa katiba za nchi washirika za Tanganyika na Zanzibar....

Mwaka 2010 kuwepo na Friends of Slaa ilikuwa muafaka ...leo tunaitaji FRIENDS OF UKAWA NO more need to be neutral......sasa ni lazima kuunganisha nguvu zote za kisiasa toka vyama vyote pamoja na CCM ..kuunganisha wote wenye kukiri kwa sababu zao mabalimbali kuwa wanajiunga na vuguvugu la wenye kiu ya kuondoa CCM madarakani na kupata ukombozi awamu ya pili chini ya katiba ya wananchi inayo lenga kupunguza madaraka ya Rais wa Muungano na kuwepo Muungano wa serikali tatu...

Dr Slaa, kama ilivyo kuwa kwa wanangu Zito na Prof Mkumbo historia itawahukumu inavyostahiki kwa kukipa chama cha CCM another lease of life beyond its expiry date...
Mwl. Lwaitama

kama dokta au profesa hajui dhana ya mabadiliko,halafu tunaosema hawana ELIMU ndio wanaotambua sasa sijui tuseme nini juu ya ELIMU hii ktk nchi yetu.Tunakushukuru Dr.Lwaitama kuwapa ELIMU hao wanaojigamba kuwa na ELIMU kuzidi walalahoi walioamua kufanya mabadiliko na wanadanganya eti wana uchungu na mateso ya wsananchi huku wakionyesha wazi kujaa tamaa.
 
Hilo ndio tatizo la elimu duni hama uliyonayo wewe masikini wa Mungu! Shahada ya Uzamivu yaani mtu kuitwa Doctor fulani ni utambulisho wa umahiri wake katika taaluma husika, sio mashindano ya ulimbwende! Kama unatafuta wauza sura wasiliana na Miss TANZANIA!

PhD holder anapimwa kwa uwezo wake wa kuchambua mambo siyo kwa ushabiki wa kipumbavu kama wa mwendawazimu Azaveli lwaitama. Mzee mzima anakosa busara anaongea pumba.shenzi sana.
 
Back
Top Bottom