Mbaya zaidi, analeta cheap politics.Yaani tajiri amsaidie masikini awe tajiri kama yeye.?
Yaani tajiri amsaidie masikini awe tajiri kama yeye.?
Ni wapi tajiri akamsadia maskini kupata utajiri, kama sio kuzidi kumtumia kujiongezea utajiri.!You are dead alive my friend! Huamini kuwa tajiri anaweza kumsaidia maskini kuwa tajiri! Basi naona kwako unaamini maskini anaweza kumsaidia maskini mwenzake kuwa tajiri!(Kumbuka utajiri unaozungumzwa hapa si wa kuwagawia wayu fedha mfukoni!
Yaani tajiri amsaidie masikini awe tajiri kama yeye.?
Yaani tajiri amsaidie masikini awe tajiri kama yeye.?
Yaani tajiri amsaidie masikini awe tajiri kama yeye.?
Mimi nimesikitishwa na kuhuzunishwa mno na hotuba ya dr. Slaa jana...kama nilivyosema kuhusu mwanangu Zito hapo nyuma na sema hivyo hivyo kwa rafiki yangu Dr Slaa sasa...wote ni WASALITI wa vuguvugu la uma la kukiondoa chama dola cha CCM madarakani...
Mimi kuanzia wiki iliyopita ni mwana chama wa Chadema...kadi nilinunua Dar es Salaam makao makuu ya Chadema DSM na nilikabidhiwa na mwanangu Benson Kigaila Dodoma , mji mkuu wa Tanania , Jumapili iliyopita wakati wa ufunguzi wa kampeni ya Benson Kigaila ya kuwania Ubunge Doadoma Mjini... Benson Kigaila ni kati ya wajamaa wengi tu ndani ya chama cha kibepari cha mrengo wa kati cha Chadema kilichoanzishwa na matajiri kama mzee Mtei na mwanagu Mbowe ambao, kama Ndg Lowasa , ni wazalendo matajiri wanaochukia umasikini na wangetamani kuwasaidia Watanzania wengi iwezekanavyo kuwa matajiri...
Inanikumbusha Prof Mohamed Babu mwaka 1995 alipotoa kauli mbiu ya let people be rich....Tena Lowasa ndani ya UKAWA si rahisi awe dikteita kama ambavyo angekuwa ndani ya CCM ..walau tutapata muungano wa serikali tatu na tuanzisha mchakato katiba upya ikiwa ni pamoja na kuanzisha mchakato wa katiba za nchi washirika za Tanganyika na Zanzibar....
Mwaka 2010 kuwepo na Friends of Slaa ilikuwa muafaka ...leo tunaitaji FRIENDS OF UKAWA NO more need to be neutral......sasa ni lazima kuunganisha nguvu zote za kisiasa toka vyama vyote pamoja na CCM ..kuunganisha wote wenye kukiri kwa sababu zao mabalimbali kuwa wanajiunga na vuguvugu la wenye kiu ya kuondoa CCM madarakani na kupata ukombozi awamu ya pili chini ya katiba ya wananchi inayo lenga kupunguza madaraka ya Rais wa Muungano na kuwepo Muungano wa serikali tatu...
Dr Slaa, kama ilivyo kuwa kwa wanangu Zito na Prof Mkumbo historia itawahukumu inavyostahiki kwa kukipa chama cha CCM another lease of life beyond its expiry date...
Mwl. Lwaitama
Bukanga
Dr Gani Hajui Hata Kuvaa Na Hajipendi? Huyo Lwaitama Alichobakiza Tu Ni Kuokota Makopo Kwani Ana Kila Vimelea Vya Mtu Aliyechanganyikiwa. Labda Sasa Amehamia CHADEMA + UKAWA Ataacha Kunywa Gongo Na Kuunguza Ule Mdomo Wake Ambao Muda Wote Lips Zake Ni Nyekundu Tu. Hivi Ni Kwanini CHADEMA + UKAWA Mnapenda Sana Kukumbatia Mizinga Ya Nyuki Namna Hii?