IndeedThis means more than a lot... Best post of the day.
Yaani tajiri amsaidie masikini awe tajiri kama yeye.?
We are ending the corrupt system mpaka limfumo libomolewe ndio tutajuana sasa hivi endeleeni kucheze makida makida wananchi wanawachora tuuHawa ndio wasomi wenye frustration za maisha.
Yaani tajiri amsaidie masikini awe tajiri kama yeye.?
unamaanisha idawa ndo jose? utani mwengine sio mzuri kabisaNaona kukosa lady one roho imekuumaaaa mweeeeeeee
We ndo kichaa ndo mana hukumwelewa manake kwa nondo za Dr lazma kama ulikuwa kilaza pale Nkurumah unatoka mtupuMimi nakwambia huyu lwaitama ni sawa na kichaa.najuta kufundishwa na mwl.mpuuzi kama huyu
Bukanga
Dr Gani Hajui Hata Kuvaa Na Hajipendi? Huyo Lwaitama Alichobakiza Tu Ni Kuokota Makopo Kwani Ana Kila Vimelea Vya Mtu Aliyechanganyikiwa. Labda Sasa Amehamia CHADEMA + UKAWA Ataacha Kunywa Gongo Na Kuunguza Ule Mdomo Wake Ambao Muda Wote Lips Zake Ni Nyekundu Tu. Hivi Ni Kwanini CHADEMA + UKAWA Mnapenda Sana Kukumbatia Mizinga Ya Nyuki Namna Hii?
Sikubahatika kufundishwa na Dr.Lwaitama nilipokuwa UDSM lakini mada za msomi huyu na machapisho yake yamekuwa na mchango mkubwa sana kwangu. Hongera Dr. Lwaitama kwa kuutendea haki usomi wako.
Ukitaka kujua kama Mkapa alikua sahihi hua ni kama wewe hvi, badala ya kujikita na kujibu hoja unaanza kumshambulia mtu!? Mwokota makopo anaweza kuandikia hivyo? basi kumbe nchi hi ina ma genius wengi sana cause kama mwehu ndio huyu na hao wenye akili zao wakoje?
WATANZANIA WENGI TUMESHAAMUA KUWA HATUTAMCHAGUA LOWASSA, porojo tunawaachia wapumbavu.
Kama hutaki kasage chupa, changanya na maji kisha kunywa, ni dawa!!
Kamaliza msomi huyu