Siamini Dr Lwaitama anaweza kukimbia hoja kwa kutoa maelezo mepesi yasiyojibu hoja hata moja ya Dr Slaa. Nitaendelea kumheshimu mpaka atakapothibitisha yeye mwenyewe kama kweli ameamua kuzikwepa hoja za Dr Slaa kwa kutoa maelezo mepesi kiasi hicho.[/QUOTE
Dr Slaa hakuwa na hoja yoyote.
Alikuwa na propaganda za ccm. Ni kipi alichoongea ambacho ccm hawajaongea kuhusu Lowasa? Ricimond is not any issue now.
Kama dr. Slaa kweli ni mkweli, Haoni mafisadi waliobaki humo ccm kuwa ni wengi kuliko anvyofikiria. Katika ile list yake List of shame walikuwa wengi akiwemo Kikwete. Kinachomtia Slaa upofu asiwaone hao sasa na kuwashambulia ni kitu gani? Je wamekuwa safi baada ya Lowasa kutoka?
Eti anasema hana bei ya kununuliwa!!!!!! mpuuzi!!! Tena kanunuliwa kwa bei ndogo sana na hao anaowapigia debe. Asifikiri watanzania ni wajinga. Tunajua kanunuliwa kirahisi sana na anfanyia kazi ccm kama juha bila kujijua. Aseme wamampa shilingi ngapi kupitia mkewe? Mkutanao wa serena nani kaulipia? Gharama za vyombo vya habari nani kalipa?
Je, ni nani alimwambia Slaa kuwa yeye ni mwenye akili kuliko wote ndani ya Chadema na ukawa kwa iyo kila mmoja asikilize hoja zake na kuzikubali? Ubinafsi mkubwa huo Kuliko ule wa zito. Msaliti kama zito. Hana maono huyu. Asingeweza kuwa Raisi. Ni afadhali hili limetokea, watanzania tungejuta kumpata yeye kama raisi. Hatuhitaji mtu anaye dhani kuwa mawazo yake yeye ndiyo ya kweli tuuu.
Aidha anatumiwa huku akijua hivyo au ni mjinga anatumiwa bila kujua anatumiwa naCCM. Atakapojua hili atakuwa amechelewa sana.
Dr Lwaitama yuko sahihi kabisa kumwita msaliti. Hakuna hoja ya kumjibu Dr. Slaa, kwani aliongea agenda moja ya richmond ambayo imesha jibiwa sana. Kama yeye ni msafi kama anavyojiita, akawashughulikie wezi na mafisadi papa aliowaacha ndani ya ccm kama Kinana na wenzake ambao anajifanya sasa hawaoni. Hii ni chuki binafsi kwa Lowasa, na Ni maumivu ya kukosa nafasi ya Urais aliyokuwa anaitaka sana.
Asante Dr.Lwaitama.