Maoni ya Dr. Lwaitama Kuhusu Hotuba ya Dr. Slaa...

Maoni ya Dr. Lwaitama Kuhusu Hotuba ya Dr. Slaa...

Lwaitama hana tofauti na kichaa hata ukimwangalia tu hana hadhi ya kuitwa Dr.
 
Mwalimu wangu wa CL pale UDSM, alichokisema nakibeba kama kilivyo, Mabadiliko kwanza Lowassa baadae,
 
Lwaitama hana tofauti na kichaa hata ukimwangalia tu hana hadhi ya kuitwa Dr.

Guys tuwe serious huku bila kujali vyama....tunahitaji mabadiliko...tatizo wenye akili finyu wamekuwa wanaconcetrate kwenye ishu za kijinga sana..like appearance ya mtu, angali content ya asemacho achana na mwonekano wewe....matapeli wangapi illiterate pale town wanpiga suti.....mwonekano unakusaidia nini.
 
Wimbo waTwanga Pepeta uliogusa roho za wengi tuukumbuke wakati tunapoamua kumchagua kiongozi wa Taifa hili 25/10, nao ni "Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe". Sikumbuki bendi iliyojibu wimbo huu kwa wimbo mwingine uliobeba ujumbe huu "mtaji wa tajiri ni nguvu za maskini". Ukijumuisha zote mbili TAJIRI HAWEZI KUWA RAFIKI WA MASKINI.
Wimbo guy hajamaliza kuimbwa na Twanga Peters isipokuwa TOT
 
Mimi kama mwanachama wa chama cha mapinduzi namunga mkono Dr lwaitama na kura yangu nampa lowassa. Naomba mwenye number ya mboe au mbatia aniapatie
 
Yaani tajiri amsaidie masikini awe tajiri kama yeye.?



Mbona simu na kompyuta unayotumia zimetengenezwa na makampuni ya matajiri kwenye nchi tajiri.

Huoni unapata utajiri kupitia matajiri.
Ni ajira ipi iliwahi kutolewa na maskini duniani?
Tangu lini wasomi wakakimbilia kwenye nchi maaskini yenye watu maskini?

Tatizo UKAWA na watanzania wengi wenye uwezo wa kuongea bila maono wananunuliwa na CCM ili kutumika kuwapumbaza na kuwahadaa watu, ndio maana hata unaposema Elimu kwanza wanapita kupinga wakati hata wao walitafuta elimu kwanza ndio wakafanikiwa.

Mnabahati Sisi wengine sio wanasiasa na hatupendi kusikia uongo ule ule unaoletwa na watu tofauti kwa wakati tofauti.

Kwani hujaona nchi za ulaya ziisaidia UGIRIKI ili iondokane na umaskini.
Wenzetu wa ulaya wanajua hasara ya kuwa na ndugu maskini kwetu sisi umaskini ni mtaji wa CCM kuendelea kutawala,bahati mbaya hii ni karne ya muujiza wa fedha kila mtu anajua umuhimu wa fedha na elimu. Ukikosa kimojawapo utakua mtu wa kudanganywa kila siku na CCM na serikali yake. Watu wameamka nao wanataka kile mnaching'ang'ania yaani utajiri,elimu na madaraka. Hapa mpaka tuheshimiane wote. Tunataka tuiondoe CCM kwa amani kabisa chini ya Kamanda Lowasa.

Mtu Ambaye hajawahi kutamani kuwa tajitiri au kupata elimu bora ni mgonjwa mahututi peke yake.
 
Yaani tajiri amsaidie masikini awe tajiri kama yeye.?

Mitaji na biashara za hao matajiri vitaongezeka kwa kuhakikisha walalahoi wanawezeshwa ili wawe na purchasing power kubwa.
 
Anatematema tu mate akiongea, ulie nae karibu lazima uloane!!
 
Lowasa wewe ni simba, naomba usingurume kwasababu ma-ccm yanaweza jinyea
 
Back
Top Bottom