MAONI: Shule za kata zifikiriwe upya

MAONI: Shule za kata zifikiriwe upya

Hizi shule ni janga la taifa. Nimekuta shule moja ya sekondari ya kata yenye wanafunzi 300 walimu 4!!
 
shule za kata ndio bora zaidi duniani,watoto wa viongozi wote wamesoma humo, maprofessor wetu wote walianzia huko. Asiyekubali kuona ukweli huo hawezi kunusa.
 
Baada tu ya Mh J. K kuingia madarakani alikuja na mpango wa shule za sekondari maaruf kama SHULE ZA KATA na mwaka 2006 shule hz zilijengwa kwa kasi ya ajabu na hatimae kuanza tena nyingine zilichelewa kuanza mpk mwez March. Tujaribu kufanya tathmin kidogoJuzi bungen aliwatambulisha wanafunz 20 bora ktk mtihan wa kidato cha sita, kati ya hao aliwataja wanafunz 7 kuwa ni zao la shule za kata. Nimejaribu kufanya mahesabu yaliyonichanganya kidogo, nikaanza form 1 mwaka 2006- form 4 mwaka 2009. Form 5 mwaka 2010- form 6 mwaka 2012 feb. Sasa hawa waliopongezwa walisoma ktk shule za kata kweli?, walianza shule mwaka gan?, je wakati huo shule za kata zilikua tayari?. TAFAKARI
shule za kata zilianza kabla ya mbayuwayu.zilianza wakati wa mkapa mwaka 2003.Mbayuwayu aliziendeleza vibaya.
 
shule za kata zilianza kabla ya mbayuwayu.zilianza wakati wa mkapa mwaka 2003.Mbayuwayu aliziendeleza vibaya.
ok but shule mojawapo iliyotajwa kuwa ni zao kat ya watoto 7 wa shule za kata ni KIKUYU SEC mkoan Dodoma, hii ilianza kabla ya huo mwaka wa 2003.
 
Kusikiliza hotuba za hawa jamaa ni kujitafutia matatizo,kila mmoja analeta longolongo.
 
Habari zenu waungwana mimi kwa upande wangu nadhani wanafunzi shule za kata wanaushawishi mkubwa kwa wazazi kama wakielezwa chanzo cha ubovu wa shule zao nini. Hatukatai kwamba serikali ya magamba imejitambulisha kuwa ndio mjenzi wa izo shule mpaka wananchi wamesahau nguvu zao katika kufanikisha hili. Lakini mbona shule hazina viwango vyovyote?

Ina maana wazazi pamoja na michango yao wamepigwa mchanga wa macho. Sasa mimi nadhani vijana wa shule za kata wanauwezo wa kuwashawishi wazazi/walezi wao namna wanavyo potezewa muda kwa udanganyifu wa magamba na shule uchwara. Pia wakawaambie chama sahihi ni kipi? Kati ya Magamba na CDM.

Naomba kutoa hoja.
 
Siku zote huwa nakaa na kuwaza juu watu walio kaa kwenye vikao na kuafiki wazo la kuwa na mfumo wa shule za Kata.Siwaelewi watu hao.Walikuwa usingizini,walinyweshwa usembe,ni mataahira au vipi.Kwa kuwa hata kabla ya kuanzishwa, the schools had already failed.Na hata hawa wanaopigia upatu upuuzi huu, siwaelewi.Wamenyweshwa nini hawa, na nani, na kwa faida ya nani?Hawa ni watu wasioitakia mema nchi yetu kabisa,watu wanaotaka tuendelee kukaa katika dimbwi la ujinga na umaskini.Nia yao ni kutaka tuendelee kuwa watumwa katika nchi yetu wenyewe.Hawa watu lazima tuwakatae kwa nguvu zetu zote.Na ni lazima pia mfumo huu wa shule za kata tuukatae kwa nguvu zetu zote!
Kwa jinsi matokeo yalivo katika shule hizi za kata,...
Ni wakati sasa wa kutafuta ufumbuzi maalumu kuhusu elimu ya watoto wa Tanzania wasio na uwezo wa kusoma shule za kimataifa (International).

Tusije kuwa tuna kimbilia kutimiza malengo ya milenia kwa kuzalisha makada (mazuzu) wengi ambao ni kama bomu baadae!

kwa matokeo haya?
kwa mfano:
shule ina wanafunzi 207
DIV-I = 0 DIV-II = 1 DIV-III = 18 DIV-IV = 109 FLD = 79
View attachment 21441
hawa waliofeli ni kama bomu ambalo siku likiripuka,sipati kutoa mfano!
Naamini kabisa kwamba wangeweza kufanya vyema,ila mazingira wanayo somea mmmh!
 
shule za kata ndio bora zaidi duniani,watoto wa viongozi wote wamesoma humo, maprofessor wetu wote walianzia huko. Asiyekubali kuona ukweli huo hawezi kunusa.
<br />
<br / Unazungumzia shule za kata hizi ambazo kongwe ina miaka mi5 au shule za serikali kama Azania,Jangwani and the like? Kuna tofauti kubwa.
 
Back
Top Bottom