Mbona mm nimeowa mwisilam? Na'amebadilisha dini kwa sasa ni mkiristo mzuri sana ni mapatano tu
Pale inapotokea Muislam anaishi na binti wa kikristo na labda wamepata watoto wawili, alafu wanagawana dini mmoja anabaki kuwa mkristo na mwingine anakua muislam ... na baba anaenda msikitini kama kawaida.
imekaaje hiyo????
Haha ebu nicheke kwanza. Elim ni mali.
Ukweli ni kwamba, mwanamke wa kiyaudi halikuwa harusiwi kuolewa na muarabu.
Myaudi alikua katairiwa, muarabu halikua hajatairia.
Myaudi alikua na kitabu cha dini injiri, muarabu hakua nacho.
Myaudi alikua anatendea wanawake zao vyema kwa upendo, muarabu alikua anatendea wanawake zao kama wanyama.
Sheria ya dini ya kiyaudi ktk injiri ilizuia mwanamke wa kiyaudi kuolewa na muarabu, sababu muarabu anatendea mwanamke na watoto kama wanyama, hasie jua haki za binadam.
Ila myaudi aliweza kuokota muarabu na kumfanya mke. Myaudi alikua tajiri na muarabu ni masikini.
Hivo myaudi akaanza kukashf wanaume wa kiaarabu, kwa unyanyasaji na ukafiri wa kuchinja watoto wa kike.
Mohamedi aliona hilo, sababu hata mkewe bi Hadija aliolewa mara nyingi sana na kutelekezwa.
Na yeye mwenyewe alikua mtoto yatima, akapigania haki za wanawake wa kiarabu na watoto yatima.
Wayaudi ambao ni wakristo walikuwemo kumsaidia mohamedi kupiga vita imani potofu za waarabu.
Mohamedi alikopy injiri kwa mdomo. Yaani alitumia injiri ya wakristo ili waarabu wabadilike.
Lakini baadae mohamedi aliwageukia wayaudi, na kuwatimua.
Na hadi leo hii mwanamke wa kiarabu thamani hana kwa mwanamme wa kiarabu.
Hivo akiolewa na mume kabila ingine au dini ingine anathaminika.
Tamaduni ya kiafrika inathamini mwanamke, hivo hamna mwanamke wa kiafrika atakubali afanywe kama myama, hasie na akili. Na mukitafsiri tu kurani na dini ya kiislam kwa watanzania, mutaswali peke yenu waarabu.

Hata ktk ukristo ipo, nenda kamulize padri au soma bibilia kwa makini.
Itakuambia kama kurani inavo waambia waislam.
Ili wakufungishe ndoa kanisani lazma na yeye awe mkristo.
Ila wazungu wakayafyatua yale ya kijinga ya kizamani zamani.
Na kufuata yale yanayo tendea haki binadam.
Wazungu walimfuata alio sema Yesu au nabii Isa.
Walifuata haki za binadam, sio kitabu cha dini.
Myaudi alisema, lazma uwe myaudi ili uwe mkristo.
Yes, akasema wote ni wa mungu mmoja.
Myaudi alisema lazma utairiwe ili uwe mkristo.
Yes alisema hautaji kutairiwa ili uwe mkristo.
Myaudi alisema, musiwe karibu na watu wenye madhambi.
Yesu, alikumbatia watu wenye mathambi na kusema ukiwasamehe, na kuwafundisha mema watajibadilisha wenyewe.
Yesu alifucus haki ya mtu, yaani binadam hana haki ya kumzuia mtu kitu chema.
Kama yeye mwenyewe kapenda sawa, maisha yake.
Ila waislam, bado wanamila za kizamani, na ndio maana hawaendelei.
Vipi nadhani nimechambua uzuri zaid blogger sie waislamu tunapigania dini yetu kwa kupata ushindi na kutoa watu kizani
Nimesoma maoni mengi, na naomba kuchangia bila ya nia ya kumkashifu Mtu au Dini hapa.
1. Nimesoma maoni ya ndoa baina ya mwislamu, mkristo na myahudi. Lakini, Mimi ni mwislamu na sijaoa katika Dini hizo Tatu.
2. Katika nchi Tajiri Hamna mume kuwa na Sauti au Nguvu kuliko mwamamme. Kila nchi inavyotajirika iwe ya kiislamu au kikristo , Ndio kina mama wanazidi kupata Haki sawa. Kwa hivyo, ni Vigumu kutegemea mwanamume awe na Sauti kubwa kuliko mwamamke nyumbani katika nchi Tajiri hasa Zenye demokrasia kamili.
3. Dini ni Imani yako, na Hamna binadamu anaweza kufuata masharti ya Dini hata asilimia 30 ya Sheria za Dini Yake. Dini ya kiislamu inakataza RIBA, pombe na inafuata sharia law. Kuna Mtu kakatwa mkono Tanzania baada ya kuiba? Basi Kama Tanzania haifuati waumini wao hawafuati Sheria za Quran. Pia kutumia dawa kuzuia Mimba na kondom ni marufuku kwa Sababu tunaingilia kazi ya Mungu. Katika maisha yakileo ni vigumu kuzaa bila ya kupanga, na mara nyingi wanawake wanafunga uzazi au wanatumia dawa, kinyume na sheria za dini yao.Kujiita mwislamu au mkristo peke Yake Haitoshi Kama hatuwezi Kuishi na Sheria Ngumu za Dini. Kwa Karne ya 21, kila nchi inavyotajirika, utakuta Imani za Dini zote zinapungua.
Nawakilisha.
uko sahihi bwana tunayaona sana hata kwa dada zetu mwaka jana wote walikuwa waislamu na ndoa juuunaweza ukawa sahihi sana Mkuu..
ukweli haujifichi.
Uislamu ni dini ya haki.
Na nyie mnapigania dini . . . which directly means mnapigania haki!
Ili mpate ushindi kama ulivyoandika.
Anyways . . . can't stop asking myself ni ushindi upi huo?
Mie napenda tu kujifunza as sidharau dini ya mtu.
Al Islam nuur,,....inaangaza kotekote,,...ivo ni ngumu kwa mzazi kumruhusu mwanae wether ni me au ke kuoa au kuolewa kwa mtu wa imani nyingine cz anakua katoka kwenye nuur na kuingia Gizani
True waislamu wanaume wameruhusiwa kuowa Ahlul-kitabu ikiwa imeshindikana kumpata muislamu aliye msafi . Lakini siku hizi kuna khofu kwamba wale wanaooa huenda wakakutana na uovu zaidi. Wanaweza kuwaita katika dini yao na wanaweza kuwalea watoto wao katika Ukristo. Kwa hiyo hatari ipo hakika na ni kubwa. Ili kuwa katika amani, Muumini ni bora asiwaoe.
basi mwenye uhitaji zaidi wa ndoa na mapenz atamfuata mwenzie regardless yupo dini gan kama uhitaji na umuhim na huyo mtu haupo then tutaendelea kudanganyana mpaka kila mtu apate mwenzi wa dini yake....#siamini katika uislam
Mkuu mimi nina swali!Hiyo ndoa itafungwa vipi kati ya hao watu wawili ilhali mmoja bado hajaamini katika uislam? Namaana hiyo siku ya ndoa inakuwaje? Ninachofahamu mimi hakuna ndoa kati ya muislam na asiyekuwa muislam though i stand to be corrected.
huoni kama hapo utakua umepingana na sheria ya ndoa na haki ya watoto kwa mama na mama kwa watoto.. mwanamke pia ana haki ya watoto. Je! huo si ukandamizaji?
Na kama huyo mwanamke mkristo hayupo radhi kubadili dini wataishi vipi hapo au ndoa itakuaje?
Muislamu wa kiume anatakiwa akae na muyahudi au mkiristo (ahlul-kitab) wakiowana kwa muda maalum tu kwa ajili ya kumuongoza mkewe katika dini ya haki. Ikiwa imeshindikana atatakiwa kumuacha ila watoto watakua chini ya baba yao katika malezi ya kiislam. Kwa sababu mwanaume ndio kiongozi wa familia.