Sasa na wewe ndipo unapopotosha.. Umesikia hotuba gani ya Chadema, au katiba, sera ama ilani ya chama inakebehi Uislaam?.. Nambie hata sehemu moja. Wewe kama Muislaam umeamrishwa kufuata kitabu na ndio tofauti kubwa ulokuwa nayo lakini hapa kwa Chadema unakuja changanya madawa..Mmm!
Inathubutu nini? kuwakejeli waislamu na uislamu?
Hata kama hutaki wewe binafsi kuwa kiongozi je waislamu wengine hawataki kuwa viongozi huko vipi haki zao zinapokejewi kisa ni waislamu na uwezo wa kutopewa nafasi..
Kwako wewe kama muislam mwingine au uislamu unakejelewi ni sawa as long as siyo wewe sikuelewi..hapo..lol
Kama kiongozi wa Chadema atasimama na kupingana na Sheikh ktk Jambo ni nitapima jambo lenyewe kama linawatakia kheri waislaam au Laa. Waliokataa OIC nani Chadma? Mbona Chadema ilikuwa na cUF toka mwaka 1995 hadi kuvunjika mahusiano yao hivi karibuni tu hamkusema Chadema ni chama cha Wakristu? au kuvunjika huko kumetokana na Wakristu kuikataa CUF maana nijuavyo aloomba talaka ni CUF kenda funga ndoa na CCM.
Huu Ukirstu wa Chadema uko wapi Yarabi, hawa wachangiaji hapa JF ambao hawana hata walijualo zaidi ya ushabiki wa Arsenal na ManU.. Utakuwa umeingizwa ujinga mkuu wangu tazama kitabu kinasema nini kisha fuata na sii WATU..