FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,894
- 109,227
Safi kabisa sasa maneno haya ndio nayazungumza kwa Chadema. Wewe usitake kuzungumzia Chadema kwa kuwatazama hawa jamaa wa hapa JF maana sii Wanachadema wa kweli bali ni mapandiki ama malimbukeni walojikuta ktk Uchadema bila kujua..
Iweje hawa viongozi wa Chadema ambao ni minority wamevaa nguo za kondoo ndio wawe sababu lakini unawatazama waarabu minority walovaa pia ngozi ya kondoo kwa jicho tofauti kufikia maamuzi ya imani yako. Can't U read my lips?
Mkandara tatizo huelewi uarabu ni nini. Uarabu ni lugha, haukuanzia wala kuishia kwenye rangi. Na Allah alipochaguwa kuishusha Qur'an kwa kiarabu hakufanya makosa. Imagine uarabu ndio ungekuwa Taifa fulani na si lugha tu ingekuwaje? ikiwa hivi sasa tu mna"confuse" waarabu na kuwaandika kama vile ni kundi la watu wa aina fulani.