MAONI na MAPENDEKEZO ya CUF kwa Rais Kikwete: Soma nyaraka nzima...

Mmm!

Inathubutu nini? kuwakejeli waislamu na uislamu?

Hata kama hutaki wewe binafsi kuwa kiongozi je waislamu wengine hawataki kuwa viongozi huko vipi haki zao zinapokejewi kisa ni waislamu na uwezo wa kutopewa nafasi..

Kwako wewe kama muislam mwingine au uislamu unakejelewi ni sawa as long as siyo wewe sikuelewi..hapo..lol
Sasa na wewe ndipo unapopotosha.. Umesikia hotuba gani ya Chadema, au katiba, sera ama ilani ya chama inakebehi Uislaam?.. Nambie hata sehemu moja. Wewe kama Muislaam umeamrishwa kufuata kitabu na ndio tofauti kubwa ulokuwa nayo lakini hapa kwa Chadema unakuja changanya madawa..

Kama kiongozi wa Chadema atasimama na kupingana na Sheikh ktk Jambo ni nitapima jambo lenyewe kama linawatakia kheri waislaam au Laa. Waliokataa OIC nani Chadma? Mbona Chadema ilikuwa na cUF toka mwaka 1995 hadi kuvunjika mahusiano yao hivi karibuni tu hamkusema Chadema ni chama cha Wakristu? au kuvunjika huko kumetokana na Wakristu kuikataa CUF maana nijuavyo aloomba talaka ni CUF kenda funga ndoa na CCM.

Huu Ukirstu wa Chadema uko wapi Yarabi, hawa wachangiaji hapa JF ambao hawana hata walijualo zaidi ya ushabiki wa Arsenal na ManU.. Utakuwa umeingizwa ujinga mkuu wangu tazama kitabu kinasema nini kisha fuata na sii WATU..
 
Kuna kitu kinaitwa "Appearance and Reality"

Kitabu cha chadema (selling/marketing tool) appearance lakini reality ndio cha maana..

Tutazidi kuona (tusubiri wote) ..their real faces, hawana tofauti na washabiki wao hapa JF...
 
Mbona hamjasema kuwa kuhusu serikali ya Tanganyika. au kwa manenoi mengi mambo yasiyo ya muungano basi wanzabari watuachee wenyewe watanganyika tujadili na tuuingize kwenye rasimu ya katiba. ina maana Mtatiro hilo hujaliona au ndo nguvu ya Pemba unga umezidi maji.
 
CUF mtaendelea kuwa na nguvu NCHINI ZANZIBAR kwa wafuga midevu wenzenu ambako kuwa sheha lazima uwe imamu. Hatutaki ugaidi Bara

Again zero thinking capacity, chadema zanzibar hatuwataki bakini tanganyika hatutaki masho.ga kanisani, kwaya wala mapambio..
 
Kuna kitu kinaitwa "Appearance and Reality"

Kitabu cha chadema (selling/marketing tool) appearance lakini reality ndio cha maana..

Tutazidi kuona (tusubiri wote) ..their real faces, hawana tofauti na washabiki wao hapa JF...
As a Muslim hutakiwi kutazama Appearance and reality isipokuwa sheria inayoongoa Umma huo. Binafsi ukiniuliza ni watu gani washenzi na wabaya kuliko wote duniani nitakwambia Waarabu na Wayahudi maana hata mitume walishindwa sasa imekuwaje mimi na wewe tuwe waislaam hali watu wale ndio washenzi kuliko hata Kaburu?..

Bado nitarudia kusema Kitabu... fuata kitabu na sii WATU maana wewe ndiye utakuwa chimbuko la mpasuko wa ukweli ktk jamii hiyo kwa kuwapa dawa... Ujinga kama maradhi unatakiwa daktari ndani anayewatibu wagonjwa. Ukisema madaktari wawakimbie wagonjwa kwa sababu wanaonekana binadamu wazuri lakini reality ni wagonjwa basi tusiwe na madaktari hapo tena itakuwa hatuponyi kitu. Na Uislaam umetuamrisha kuwa na wasioujua Uislaam ili wapate kuuelewa vizuri japokuwa wataendelea na imani zao lakini somo limewafikia.
 
Haya maneno mazito sana mkuu wangu Topical...
 
Kutokuangalia appearance na reality sasa hapo ndio unataka kuwa kipofu...

Maana kila jambo lazima uangalia kwa macho mawili na huko ndio kuangalia mambo kwa umakini sahihi..

Appearance (can look good) but in reality it has ill intentions..na huwa utaona hizo ill intention kwenye

elements za wafuasi wao...

sasa unamshauri nani asiangalie mambo kwa macho mawili (both appearance and reality) unataka tuwe vipofu..lol.
 
Maana yangu ni hii kama ningeutazama Uislaam kwa kuwatazama waarabu Appearance and reality) basi nisingefuata dini hii, lakini najua fika kwamba mafundisho ya dini hayana mahusiano kabisa na mila na desturi za Waarabu na kitabu kinajieleza wazi. Tatizo lenu waislaam wa Tanzania wengi ni watu mnaoiga dini na sii kufuata kitabu. Na ndio maana mnafuga midevu hovyo, mnavaa kanzu za KiOman na hata kusalimiana kwenu zaidi ni mila za kiOman au KiYemen, majina yenu na kadhalika ili mradi basi mnafuata watu (waarabu) ambao dini kwao ni politics kwa sababu Watawala wao wamefuata dini kuogopa kuondolewa madarakani..

Mkuu wangu mimi nafuata kitabu sintojali kabisa kama Waislaam wote wa jina na appearance zao zifanane na matendo yao kwa sababu Uislaam hauna owner, hauna mwenyewe isipokuwa wewe binadamu ndiye unatakiwa kuufuata Uislaam na kufanya ulotakiwa kuyafanya. I don't follow anyone but God na maarisho yake na kama utakuwa pingamizi la imani yangu hapo tena utakuwa umevuka mpaka..Hakuna reality yoyote inayojitokeza bila kuwa sheria ya wahusika hata Apartheid ilipitishwa na wazungu na kuhalalishwa kinyume cha hapo ubaguzi upo kila mahala na siwezi kuuzuia ikiwa ni ukiukwaji wa sheria iliyopo ila nitaendelea kutoa dawa ndani ya wale wakiukaji wa sheria.

Nachoweza kusema leo, kama nitaona kingozi ama mtu yeyote anajaribu kuiondoa haki ya Uislaam na sii WATU hapo nitakuwa na kila sababu ya kuutetea Uislaam lakini siwezi kuwatetea waislaam wasiojua Uislaam kwa sababu tu appearance zao ni za kiislaam na Vise versa.
 
Maana yangu ni hii kama ningeutazama Uislaam kwa kuwatazama waarabu basi nisingefuata dini hii lakini najua fika kwamba mafundisho ya dini hayana mahusiano kabisa na mila na desturi za waarabu. tatizo lenu waislaam wa Tanzania wengi ni watu mnaoiga dini na sii kufuata kitabu. Na ndio maana mnafuga ndevu, mnavaa kanzu za KiOman na hata kusalimiana kwenu zaidi ni mila za kiOman au KiYemen, majina tyenu na kadhalika ili mradi basi mnafuata watu ambao dini kwao ni politics kwa sababu Watawala wao wamefuata mkumbo..

Mkuu wangu mimi nafuata kitabu sintojali kabisa kama Waislaam wote wa jina na appearance zao zifanane na matendo yao kwa sababu Uislaam hauna owner, hauna mwenyewe isipokuwa wewe binadamu ndiye unatakiwa kuufuata Uislaam na kufanya ulotakiwa kuyafanya. I don't follow anyone but God na maarisho yake na kama utakuwa pingamizi la imani yangu hapo tena utakuwa umevuka mpaka..Hakuna reality yoyote inayojitokeza bila kuwa sheria ya wahusika hata Apartheid ilipitishwa na wazungu na kuhalalishwa kinyume cha hapo ubaguzi upo kila mahala na siwezi kuuzuia ikiwa ni ukiukwaji wa sheria..

Nachoweza kusema leo, kama nitaona kingozi ama mtu yeyote anajaribu kuiondoa haki ya Uislaam na sii WATU hapo nitakuwa na kila sababu ya kuutetea Uislaam lakini siwezi kuwatetea waislaam wasiojua Uislaam kwa sababu tu appearance zao ni za kiislaam.

Good kumbe ukiangalia waarabu (appearance) ni tofauti na kuangalia Uislam (reality) thats my point..

Sasa ukiangalia chadema (appearance selling document) good ukiangalia reality worse hiyo ndio tofauti yangu na wewe..

wewe kwenye usomi wetu tunakuita one eye (looking things on appearance alone)..

Hayo mambo ya mavazi ya watu wanayoyapenda usiyaleta hapa na kejeli zako ambazo unaiga wagalatia tu..(kanzu ya mtu siyo issue, issue anakata issue anafahamu nini ...

mimi sihangaiki na mavazi na lakini kama mtu anafuata mila ya mtume kuna tabu gani kuliko kufuata mila ya wazungu???
 
Napinga unafiki wa hawa CUF,wamepitisha bungeni halafu sasa wanatoa maoni.Waache siasa uchwara na za majitaka.
 
Kama ni hivi CCM bado ina safari ndefu.
Inaonesha tulivyoshindwa kutanguliza utaifa wetu, tunatanguliza imani zetu.
Wangefufuka kina Nyerere, Kawawa na kushuhudia hiki wangeshangaa sana.
Tuhamie NCCR. Huko nako watasema chama cha watu wa Kigoma.
Kwa mwendo huu hata mashekh wasome dua na mapadri na wachungaji wakeshe wakiomba, hatuendelei.
Kwa chuki zilizopo nizakinafiki. Tunajidai tunapenda imani zetu kumbe bure tu. Kama ni kweli tunachukia uislam au ukristo hivyo, tungekuwa tumeshasikia mtu kamuua mtoto wake kisa kabadilisha dini, hapo ndipo ningejua tuko serious.
Mnashindwa hata kutafakari CCM wanavyotumaliza kisiasa ili waendelee kutuibia.
Hayo maneno ni ya CCM mwaka 2000 kwa CUF na 2005-2010 kwa CDM, tulivyoyabeba sasa kama yetu.
Hizo attack za udini zingegeukia kwenye wizi wa CCM nadhani 2015 wasingefika.
Kwa mwendo huu, Kila la heri CCM.
 
Good kumbe ukiangalia waarabu (appearance) ni tofauti na kuangalia Uislam (reality) thats my point..

Sasa ukiangalia chadema (appearance selling document) good ukiangalia reality worse hiyo ndio tofauti yangu na wewe..

wewe kwenye usomi wetu tunakuita one eye (looking things on appearance alone)..

Hayo mambo ya mavazi ya watu wanayoyapenda usiyaleta hapa na kejeli zako ambazo unaiga wagalatia tu..(kanzu ya mtu siyo issue, issue anakata issue anafahamu nini ...

mimi sihangaiki na mavazi na lakini kama mtu anafuata mila ya mtume kuna tabu gani kuliko kufuata mila ya wazungu???
Bado huelewi,, Ukitzama appearance ya Waarabu wanaonekana watu makini sana kumbe in reality ni washenzi wakubwa - Hii haikuwa sababu yangu mimi kutoufuata Uislaam kwa sababu Uislaam ni dini wala sii ya waarabu wala haifuati mila na desturi za waarabu. Kwa hiyo, niko nao waarabu washenzi kupita wote na mimi ni muislaam sio kwa kuwa influenced na waarabu bali kitabu..

Vivyo hivyo, Kwa Chadema hata kama wewe unawaona ni washenzi walovaa ngozi ya kondoo ,wasiokuwa na ustaarabu bado mimi nitafuata kitabu, natazama malengo ya chama hiki, sera zake na ilani za chama kulingana na Utaifa wangu..Mimi mwenyewe nimeyatazama kwa makini na kukubaliana nao na ndio maana nimekuwa mwanaChadema kama nilivyoukubali Uislaam. Na acha waarabu, nina marafiki zangu waislaam washenzi kupita maelezo lakini siwezi kuu judge Uislaam kutokana na matendo yao.Tazama aloyafanya Ghaddaffi au NTC kumtia mtu jiti la nyuma huku wakimtukuza Mwenyezi Mungu huo kweli ndio Uislaam...

Najua fika kwamba Wakristu hawaupendi Uislaam kwa sababu kwao Uislaam ni WATU kulingana na mafundisho ya dini yao walivyofundishwa kuhusu dini..Na ndio maana siku zote hushindwa kuuelewa Uislaam kama ni dini isiyofuata mtu bali watu ndio huufuata Uislaam. Hukuambiwa fuata mila za Mtume bali yale mazuri aloyafanya kwa utume wake..Kanzu zilivaliwa na ndevu zilifugwa hata kabla Mtume hajazaliwa..

Kwa hiyo sipo Chadema kwa sababu ya Mbowe, Zitto au Dr. Slaa isipokuwa nakubaliana na mawazo yao na wao watakuwa viongozi wangu ktk kuitafuta haki yya kila Mtanzania. Sina sababu ya kukichukia chama kwa sababu ya waandishi wa hapa JF unajuaje pengine wametumwa kuandika haya ili kusambaza chuki ili mkichukie chama hiki Na wewe ukiwafuata unaingia mtego wao.
Dini naiweka pembeni tunapambana kwa hoja za msingi kama hii ya waraka wa CUF..
 
Bado huelewi,, Ukitzama appearance ya Waarabu wanaonekana watu makini sana kumbe in reality ni washenzi wakubwa - Hii haikuwa sababu yangu mimi kutoufuata Uislaam kwa sababu Uislaam ni dini wala sii ya waarabu wala haifuati mila na desturi za waarabu. Kwa hiyo, niko nao waarabu washenzi kupita wote na mimi ni muislaam sio kwa kuwa influenced na waarabu bali kitabu..

Vivyo hivyo, Kwa Chadema hata kama wewe unawaona ni washenzi walovaa ngozi ya kondoo ,wasiokuwa na ustaarabu bado mimi nitafuata kitabu, natazama malengo ya chama hiki, sera zake na ilani za chama kulingana na Utaifa wangu..Mimi mwenyewe nimeyatazama kwa makini na kukubaliana nao na ndio maana nimekuwa mwanaChadema kama nilivyoukubali Uislaam. Na acha waarabu, nina marafiki zangu waislaam washenzi kupita maelezo lakini siwezi kuu judge Uislaam kutokana na matendo yao.Tazama aloyafanya Ghaddaffi au NTC kumtia mtu jiti la nyuma huku wakimtukuza Mwenyezi Mungu huo kweli ndio Uislaam...

Najua fika kwamba Wakristu hawaupendi Uislaam kwa sababu kwao Uislaam ni WATU kulingana na mafundisho ya dini yao walivyofundishwa kuhusu dini..Na ndio maana siku zote hushindwa kuuelewa Uislaam kama ni dini isiyofuata mtu bali watu ndio huufuata Uislaam.

Kwa hiyo sipo Chadema kwa sababu ya Mbowe, Zitto au Dr. Slaa isipokuwa nakubaliana na mawazo yao na wao watakuwa viongozi wangu ktk kuitafuta haki yya kila Mtanzania. Sina sababu ya kukichukia chama kwa sababu ya waandishi wa hapa JF unajuaje pengine wametumwa kuandika haya ili kusambaza chuki ili mkichukie chama hiki Na wewe ukiwafuata unaingia mtego wao.
Dini naiweka pembeni tunapambana kwa hoja za msingi kama hii ya waraka wa CUF..

Hakuna anayefuata uislam kwasababu ya mtu mkuu wangu eti waarabu gosh! waarabu ni minorty katika jamii ya kiislamu duniani nafikiri unajua hilo tunafuata kitabu (qur'an) na sunna za mtume Muhammad (SAW) period..usitoke kwa kutueleza habari za wajinga, wazinzi na wapenda madaraka ya kiarabu kama hao uliowataja..that is NOT ISLAM...

Hao viongozi waliovaa ngozi ya kondoo wenye kufuata influence ya wanachama wao watafuata KITABU (marketing tool) a.k.a appearance??? wakati watakapofanya sasa kuwa kwenye Reality??? hapo ndio utawafahamu reality na appearance..
 
Hii imeandikwa kiumakini, lugha safi, nyepesi, unapenda uisome. Inalenga moja kwa moja kwenye mambo yanayomuhusu kila mtu.

Sasa isome ya magwanda, ina makosa ya lugha, takwimu, haieleweki, vurugu mechi.

Hongera CUF. Magwanda mnajidai usomi, katazameni makosa kibao kwenye karatasi yenu.
 
Safi kabisa sasa maneno haya ndio nayazungumza kwa Chadema. Wewe usitake kuzungumzia Chadema kwa kuwatazama hawa jamaa wa hapa JF maana sii Wanachadema wa kweli bali ni mapandiki ama malimbukeni walojikuta ktk Uchadema bila kujua..

Iweje hawa viongozi wa Chadema ambao ni minority wamevaa nguo za kondoo ndio wawe sababu lakini unawatazama waarabu minority walovaa pia ngozi ya kondoo kwa jicho tofauti kufikia maamuzi ya imani yako. Can't U read my lips?
 
Sijaelewa unataka kusema nini? nilipo underline...

Are saying Chadema as a party and its leadership wanafuata kitabu chao au hawafuati? plus chadema fans..or (diehard chadema) who are constantly against islam or muslim by their deeds..wameshawalaani hadharani wakati wao ni member wa kudumu hapa?? please..don't fool people
 
Hii imeandikwa kiumakini, lugha safi, nyepesi, unapenda uisome. Inalenga moja kwa moja kwenye mambo yanayomuhusu kila mtu.

Sasa isome ya magwanda, ina makosa ya lugha, takwimu, haieleweki, vurugu mechi.

Hongera CUF. Magwanda mnajidai usomi, katazameni makosa kibao kwenye karatasi yenu.

Walikurupuka unajua wanaongoza kwa pupa na hamaki.
 
Back
Top Bottom