issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 5,793
- 12,564
Mdogo wangu mwaka 2019 alimaliza chuo akaenda dar kwenye umachinga wa vyombo, ndan ya mwaka mmoja wa umachinga aliweza kujenga kijumba kijijin chenye thaman ya zaid ya mil 10. Baadae magu akatangaza ajira dogo akaomba akafanikiwa. Akapangiwa shinyanga vijijin ndan ndan. Dogo mwanzon mwanzon wa ajira alitaka kuacha ila akaona ajiongeze, akanunua eneo center akajenga ukumbi wa mpira akafungua na kiduka akamuweka mke wake. Sasa hvi ni mwaka wa nne kwenye ajira ana ukumbi mkubwa wa mpira, duka la jumla na rejareja, guta mbili na mwezi huu amefungua kiwanda cha maandazi mradi umechukua zaid ya mil 20 kuanzia kiwanja, jengo, mitambo na pikipiki 4 za kusambazia. Kwahiyo walimi jiongezen achen kulialia