startergear
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 1,749
- 1,943
Achana na huyo bwege! Degree ni 700k plus anayeanza kazi Sawa na bwanamifugo wa wilayaHivi wanapata kiasi gani mshahara? Kuanzia mwalimu wa primary hadi sekondary? Ngazi ya cheti,dip ,ad dip/degree?
sema kweli waalimu hawana marupurupu ya wizi ndo maana wanaishi maisha marefu