Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,916
- 6,526
Ujinga ni hali ya mtu kutofahamu jambo fulani. Hata wewe au mimi tunaweza kuwa na kaujinga kwenye maeneo fulani.why uite watu ni wajinga kisa tu hawajui kusoma na kuandika. wewe unajua kila kitu
hata Wasira alishasema mshahara hautajirishi mtu, hivyo tunapochahua kuajiriwa ,automatically tumechagua umasikini
Kumuamini mtu ukampa kitu fulani kisha akakutapeli, huo ni ujinga. Ila ukirudia tena pasipo kujifunza, huo unaitwa upumbavu.
Kwa kifupi watu wengi sana kwenye hili taifa la wadanganyika, ni wajinga. Kujua kusoma na kuandika hakukuondolei ujinga. Unaweza kujua kusoma na kuandika yasiyokuwa na msaada au tija yoyote.