choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,289
- 4,088
Kwahiyo hakuna watu wanaotibu watu ambao hawakupata marks nzuri sekondari mfano ma Clinical officers?Usiseme ohh ualimu mgumu
Kujiunga fani ya ualimu iwe certificate, diploma au digrii wanaojiunga ni failures walioshindwa kusimoma kwa juhudi wapate division nzuri sekondari wanaolakamika ohh kazi ya ualimu ngumu kwani kusoma sekondari rahisi ? Mbona walipata pass za ajabu za chini mno kwa uvivu wao wa kusoma
Certificate, diploma na digrii za ualimu wanajiunga watu choka mbaya wavivu kusoma wenye pass mbaya sekondari
Akienda chuo malalamishi kibao akiajiriwa kelele kibao sababu culture ya uvivu na kujituma hajaanzia kwenye ajira kaanzia sekondari anakula bata tu halafu anategemea apate pass nzuri Akiajiriwa anataka mausha na bata shule watoto wanafeli hadi basi analilia serikali iboreshe mishahara nk wakati hana cga maana anachofanya shuleni zaidi ya kuzakusha failures
Niombe serikali ianze kupeleka wasomea ualimu division one tu waachabe na hao wapumbavu wa division 2 3 na 4 sekondari kuinua kiwango cha Elimu
Kama serikali ilivyofuta walimu wa UPE
Isidahili tena mtu kusomea ualimu aliyepata chini ya division one sekondari
Tuondokane na hawa wapumbafu secondary failures
Kipindi cha mkoloni best performers mitihani ya sekondari ndio walikuwa wakipewa kipaumbele kusomea ualimu
Sasa hivi best performers wamebaki chuo kikuu tu
Serikali irudishe upesi system ya zamani best performers division one waende ualimu hawa failures waende kuwa machines huko ili kunyanyua kiwango cha elimu
Haiwezekani kunyanyua kiwango cha elimu kwa kutegemea failures secondary walioenda vyuo vya ualimu as failures
Hapana.Wanadai mengi wakati wako hopeless delivery zero wafungishwe virago
Hizo kada zingine watu wenye certificate na Diploma walipata division 1?