Huyo labda shemeji yake, kaachwa Metacha.Kwa kifupi Ndailagije kamkosea heshima Juma Kaseja.
Kwa umri na uzoefu wake, hapakuwa na sababu kumwita T Stars ili akasugue benchi kwenye CHAN.
Kama alishaona Manula atakuwa keeper number 1, basi ni vyema angetafuta understudy mwingine.
Kwa kifupi Ndailagije kamkosea heshima Juma Kaseja. Kwa umri na uzoefu wake, hapakuwa na sababu kumwita T Stars ili akasugue benchi kwenye CHAN. Kama alishaona Manula atakuwa keeper number 1, basi ni vyema angetafuta understudy mwingine.
Labda wanasubiri arejee wagawane mshiko.Sijui wana subiri nini?
Mkuu hujagundua tu? Timu ya taifa ikiwa na mechi ya kirafiki hapa nchini haitwi ila ikitoka nje ya nchi yumo!Kwa kifupi Ndailagije kamkosea heshima Juma Kaseja.
Kwa umri na uzoefu wake, hapakuwa na sababu kumwita T Stars ili akasugue benchi kwenye CHAN.
Kama alishaona Manula atakuwa keeper number 1, basi ni vyema angetafuta understudy mwingine.