Maoni: Kaseja staafu Taifa Stars

Sibonike

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
17,266
17,964
Kwa kifupi Ndailagije kamkosea heshima Juma Kaseja.

Kwa umri na uzoefu wake, hapakuwa na sababu kumwita T Stars ili akasugue benchi kwenye CHAN.

Kama alishaona Manula atakuwa keeper number 1, basi ni vyema angetafuta understudy mwingine.
 
Huyo labda shemeji yake, kaachwa Metacha.
 
Kwa kifupi Ndailagije kamkosea heshima Juma Kaseja. Kwa umri na uzoefu wake, hapakuwa na sababu kumwita T Stars ili akasugue benchi kwenye CHAN. Kama alishaona Manula atakuwa keeper number 1, basi ni vyema angetafuta understudy mwingine.

1611919561515.png

1611919731205.png
 
Kwa kifupi Ndailagije kamkosea heshima Juma Kaseja.

Kwa umri na uzoefu wake, hapakuwa na sababu kumwita T Stars ili akasugue benchi kwenye CHAN.

Kama alishaona Manula atakuwa keeper number 1, basi ni vyema angetafuta understudy mwingine.
Mkuu hujagundua tu? Timu ya taifa ikiwa na mechi ya kirafiki hapa nchini haitwi ila ikitoka nje ya nchi yumo!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom