Gaspare Mbile
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 1,568
- 1,600
Basi akatae akawachie wengine, hao washazoea hela za siasa, hawawezi kaa nje ya system, hapo alipo anashukuru sana
Mawazo yako ni Tope kabisa, kwani amevuliwa Ubalozi?Dk. Batilda Buriani Alikuwa Balozi Kenya na Japan, Leo kateuliwa kuwa Katibu Tawala mkoa? Ni kudhalilishwa mno, ni MAWAZO yangu. Angepewa hata ukuu wa Mkoa
Ukipenda kuajiriwa huku unakwepa kushika jembe ukalime, tegemea kudharauliwa na kudhalilikaDk. Batilda Buriani Alikuwa Balozi Kenya na Japan, Leo kateuliwa kuwa Katibu Tawala mkoa? Ni kudhalilishwa mno, ni MAWAZO yangu. Angepewa hata ukuu wa Mkoa
Tusubiri siku ya kuapishwa. Tukimwomwona Kila kiapo tutajua kuwa amekubali uteuzi kiroho safi..Kwani yy anasemaje? Tuanzie hapo kwanza kiongozi
Kuna watu wanaangalia kupanda vyeo tu! Hawajui kuwa cheo ni dhamanaBASHIRU JE?
Katibu ccm,
Balozi,
Katibu mkuu kiongozi,
UBUNGE TENA VITI MAALUM,
Je alishushwa au
Alipanda?
Ukiwa na njaa chakula ni chakula tuu... Tatizo nilionalo hapo ni mtu kutafutiwa ahueni ya maisha.... Kutoka nafasi kubwa hizo za ubalozi,kukaa benchi i.e uwezo nao ushafifia. Alipaswa sasa awe amewekeza viwandani, mashambani, mifugo n.k.na kuajiri watanzania....tatizo linakuja hawajiandaagi na maisha nje ya SI-HASA. Wakajifunza kwa mzee Pinda,Mkwere n.kDk. Batilda Buriani Alikuwa Balozi Kenya na Japan, Leo kateuliwa kuwa Katibu Tawala mkoa? Ni kudhalilishwa mno, ni MAWAZO yangu. Angepewa hata ukuu wa Mkoa
Uko sawa Mkuu, aliwahi kuwa balozi Japan na Kenya na bado ana hadhi yake kama Balozi.
Huyu ndio alikomaa na kesi ya kufuta matokeo ya uchaguzi wa ubunge wa Lema pale Arusha mjini. Kama alikuwa mbunge, kuwa Katibu Tawala wa mkoa ni sawa tu, na ubalozi si ni hadhi tu kama udaktari au uhandisi (japo hizo nyingine ni za kielimu)Dk. Batilda Buriani Alikuwa Balozi Kenya na Japan, Leo kateuliwa kuwa Katibu Tawala mkoa? Ni kudhalilishwa mno, ni MAWAZO yangu. Angepewa hata ukuu wa Mkoa
Tena kapendelewaAshukuru hata huo URAS kupata sie wengine hata ukatibu kata hatujapata
Huyu maza teuzi zake anazijua mwenyeweAliisha kuwa Waziri hapo mipango pia!!! Hapo kwenye kuwa RAS mtamtesa sana , ingependeza kama mnamuhitaji sana awe hata mkuu wa mkoa!!! Inaelekea hao washauri wa mama hawasomi CV za watu wanaowapendekeza?
Kama wakina Adam Malima walitoka kwenye unaibu Waziri na kuwa wakuu wa mkoa kwanini huyu aliyekuwa waziri kamili asiwe RC? There has to be some consistency in these appointments.
Yaani ni mambo ya aibu tupuNimeona Ndugu mmoja aliyekuwa na cheo cha Waziri, Balozi na hatimaye kuja kuteuliwa kuwa Katibu Tawala. Kwa ushauri wangu huyu sasa angepaswa kupumzika na kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi fulani. Kweli mtu alikuwa Mhe. Waziri leo anakuwa Katibu Tawala?.
Labda vyuma vimekaza na katumia connections zake japo aate hiyo post..Dk. Batilda Buriani Alikuwa Balozi Kenya na Japan, Leo kateuliwa kuwa Katibu Tawala mkoa? Ni kudhalilishwa mno, ni MAWAZO yangu. Angepewa hata ukuu wa Mkoa
2025 atavuna mabuaMaza kafeli mapema sn kuliko mtu yoyote
Alikuwa mchepuko wa Lowasa,kipindi anagombea ubunge Arusha mjini,2010,hana jipya,anakitu gani Cha upekee!?hapo ashukuru tu,maana lazima Kikwete amemuombea apatiwe Ka nafasi asije kufa njaa,huyu hakutakiwa kurudi kabisa,mtu alikuwa Mbunge 2010!amekuwa Balozi,miaka 11 baadae,anapewa nafasi Tena kwenye utumishi wa umma,tujiulize miaka yote hiyo alikuwa anafanya nini?ana biashara,alikuwa anasoma,Dk. Batilda Buriani Alikuwa Balozi Kenya na Japan, Leo kateuliwa kuwa Katibu Tawala mkoa? Ni kudhalilishwa mno, ni MAWAZO yangu. Angepewa hata ukuu wa Mkoa
RAS sio mtu mdogo mkuu watumishi wote wa mkoa wako chini yakeDk. Batilda Buriani Alikuwa Balozi Kenya na Japan, Leo kateuliwa kuwa Katibu Tawala mkoa? Ni kudhalilishwa mno, ni MAWAZO yangu. Angepewa hata ukuu wa Mkoa