Nilidhania taifa liko kwenye maombolezo ya aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais na muasisi wa taifa hili kwa siku saba. Aliyetutangazia maombolezo hayo yuko mpirani kuhamasisha ushindi.. hivi alishindwa hata kujibanza Ikulu kuangalia kwenye big screen na kumtuma waziri mmoja hivi..kweli ilimpasa kwenda?
Lazima tukubali JK ni mtu wa watu, anajichanganya sana, tena nadhani urais ni kikwazo kwake otherwise angeendelea kuripoti Msondo pale Amana, kujiwe cha Saigon etc.
Hata hivyo, hili la kuwa mtu wa watu, sio excuse ya madhaifu yake judgment, kwenye issues ndogondogo tusizikuze, hakuna ubishi JK ni mtu wa avarage inteligence, hatuna sababu ya kumvua nguo hata kwenye issues zinazohitaji average common sense.
Tupunguze malalamiko, turudi kwenye kupanga strategies, tufanye actions, tusonge mbele!.
surely it does...Hivi tulitegemea kuwa JK alale uvunguni kule Ikulu kwa siku saba?
Wakuu this is the 21st cetury, life MUST go on.
Mzee mwanakijiji Sitarajii mwelewa kama wewe uwe na chuki zisizo na msingi[nachelea kutumia neno halisi kwa kuhishimu JF Lakini inaelekea una biff kubwa na bwana Mzee. Wenzangu nyie alivyoahirisha spichi yake ya mwaka ambayo ilitakiwa aitowe mlimponda sana na kusema ingawa kuna msiba lakini ile spich ni ;national issue na ni muhimu angeitowa siku ya mkesha. Maskini jamaa alifanya vile kwa sababu ambayo watu wa kawaida walielewa. Na alipotoa hiyo spich siku ya tarehe 1 mkaanza kuiponda sasa tarehe 4 amekwenda kwenye shughuli ya kitaifa mnasema mbona nyinyi wazee mlianza sherehe ya mwaka mpya kwa kunywa kustarehe hivi ule msiba nyie haukuwahusu????Nilidhania taifa liko kwenye maombolezo ya aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais na muasisi wa taifa hili kwa siku saba. Aliyetutangazia maombolezo hayo yuko mpirani kuhamasisha ushindi.. hivi alishindwa hata kujibanza Ikulu kuangalia kwenye big screen na kumtuma waziri mmoja hivi..kweli ilimpasa kwenda?
Mzee mwanakijiji Sitarajii mwelewa kama wewe uwe na chuki zisizo na msingi[nachelea kutumia neno halisi kwa kuhishimu JF Lakini inaelekea una biff kubwa na bwana Mzee. Wenzangu nyie alivyoahirisha spichi yake ya mwaka ambayo ilitakiwa aitowe mlimponda sana na kusema ingawa kuna msiba lakini ile spich ni ;national issue na ni muhimu angeitowa siku ya mkesha. Maskini jamaa alifanya vile kwa sababu ambayo watu wa kawaida walielewa. Na alipotoa hiyo spich siku ya tarehe 1 mkaanza kuiponda sasa tarehe 4 amekwenda kwenye shughuli ya kitaifa mnasema mbona nyinyi wazee mlianza sherehe ya mwaka mpya kwa kunywa kustarehe hivi ule msiba nyie haukuwahusu????
Nilidhania taifa liko kwenye maombolezo ya aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais na muasisi wa taifa hili kwa siku saba. Aliyetutangazia maombolezo hayo yuko mpirani kuhamasisha ushindi.. hivi alishindwa hata kujibanza Ikulu kuangalia kwenye big screen na kumtuma waziri mmoja hivi..kweli ilimpasa kwenda?
Yakhe Mzee wakati mwengine unabowa! Hivyo kufa kwa mtu mmoja ndani ya Taifa ndio kila kitu kisimame? Basi vilabu vya Pombe na hata hii burudani ya JF vyote vifunge! Mzee una kisu na muungwana na pengine ummoja wa wale waliowaona yeye mwenyewe!
Pasco, you have clearly put it. Hata msibani tunacheka kama la kuchekesha lipo. Kushusha bendera nusu mlingoti ni ishara tosha ya maombolezo.Kimya cha Dakika moja kilifanyika. Maombolezo ya siku 7 na bendera kupepea nusu mlingoti, the rest ni issues za judgement, a man with a mission to sell Tanzania, as a sales man, baada ya kutoa pole, unapanga na bidhaa zako bazarani kwa wafiwa ili wale wanaokuja kutoa pole wazione nao japo wanunue. Msiba umemkuta kipindi cha mauzo, as a good salesman of his nation, maadam tumeshiriki hatua zote mpaka maziko, then life goes on, biashara kama kawa.
RIP Simba wa Vita.
Yakhe Mzee wakati mwengine unabowa! Hivyo kufa kwa mtu mmoja ndani ya Taifa ndio kila kitu kisimame? Basi vilabu vya Pombe na hata hii burudani ya JF vyote vifunge! Mzee una kisu na muungwana na pengine ummoja wa wale waliowaona yeye mwenyewe!
Sasa wapi mnako elekea asingekuwepo Uwanjani mngeanzisha thread tena, ameenda maneno tena binadamu kweli hamridhiki, nilicho ona mm bendera zilipepea nusu mlingoti na wachezaji walisimama dk 1 kumkumbuka. Mambo mengine jamani muwe mnaangalia sio kila kitu kukosoa tu.
Pasco, you have clearly put it. Hata msibani tunacheka kama la kuchekesha lipo. Kushusha bendera nusu mlingoti ni ishara tosha ya maombolezo.
RIP Rashid Mfaume Kawawa.
Semenya naona unabwabwaja hutoi hoja kusuport your argument. MM anatoa hoja hata kama wengi wanampinga. Hoja yangu katika hili ni kwamba both parties in this thread wako right depending on which angle one is trying to look at.Mwanakijiji
Nadhani unalako binafsi na JK, huu ukosoaji sasa umezidi na unakera.kama umekosa hoja bora utulie na usubiri pumba za CCM uziandikie.
kwa taarifa yako kuna watu muhim wanakufa hata huko ulaya sports inatumika kama njia moja wapo ya kujifariji, michezo si siasa, michezo ni njia moja wapo ya kujifariji.kama wewe unaona JK alikosea sijui ni wawapi wewe...naona tangu uweke picha ya JK yupo hospitali anaazindua machine pale muhimbili umekua hauna hoja.