Maombolezo ya Kawawa na Rais Mpirani

- Sometimes JF bwana huwa sielewi, jamani tofauti ya Rais kwenda huko au kutokwenda inaweza kuwa ni nini hasa?

- Hii nji tumeliwa na tukaeni mkao wa kula tu, ndio kwanza Rostam amenunua haki zote za Star TV na huku Lowassa anakuja na Raido station pamoja na TV ya ABC, eti wananunua hizo media outlets za nini ni kwa sababu wamegundua kwamba watatawala siasa zetu for a very long time to come in a wake of all this kuna cha ajabu tena Tanzania?

Respect.

FMEs!
 
Inaonyesha wengi humu aidha hamjui maana ya msiba wa kitaifa au ndio ule msemo wa ukipenda chongo huona kengeza. Hivi mfano ile landslide/ mudslide ya Brazil iliyoclaim 60 human lives imeitangazwa kuwa ni msiba wa kitaifa na will be mourned in 3 days, unataka kuniambia rais wa Brazil kwenda kuangalia mechi kipindi hicho ni sahihi? Hivi mlikuwa wapi wakati wa msiba wa mwalimu? Harusi ziliahirishwa, mechi kama hizi hata kuchezwa ilikuwa hakuna,baa zilikuwa kimyaaaa! Mnataka kuniambia leo hii God forbid Cyril Ramaphosa wa Afrika kusini akifa, after say 2 days Zuma anaweza kwenda kuangalia mpira.

Anywayz maybe Kawawa was not that important, lakini je kulikuwa na haja gani kutangaza msiba wa kitaifa?

Tuacheni ushabiki, hapa mkulu amechemka tena big tyme.

Tena eti bendera inapepea nusu mlingoti

Munaotetea kitendo hicho, kwani alikwenda kufanya nini? Kushangilia?, Kujifurahisha? Au naye hajawahi kumuona Drogba live? Kama ni kufungua uwanja wa Taifa, naweza kukubali lakini mechi ya mpira ni Burudani.

Yeye mwenyewe alitangaza hizi ni siku za maombolezo, iweje aende kuburudika? Kwa staili hiyo, kweli tutaendelea kuambiwa mafanikio ya utawala wake ni makubwa maana hata Drogba kafika Dar.
 
- Sometimes JF bwana huwa sielewi, jamani tofauti ya Rais kwenda huko au kutokwenda inaweza kuwa ni nini hasa?

- Hii nji tumeliwa na tukaeni mkao wa kula tu, ndio kwanza Rostam amenunua haki zote za Star TV na huku Lowassa anakuja na Raido station pamoja na TV ya ABC, eti wananunua hizo media outlets za nini ni kwa sababu wamegundua kwamba watatawala siasa zetu for a very long time to come in a wake of all this kuna cha ajabu tena Tanzania?

Respect.

FMEs!

is it star or Channel 10?
 
acheni ujinga kama Kawawa amekufa so what shughuli za kitaifa zisimame na wanamichezo vipi hawahitaji support yake! Muende mkalale muache topic zisizo na miguu!

Unahitaji muda mrefu kukomaa ktk JF.
Support yake!!! Maximo alikuwa wapi?

We ni mmoja wa wanaoamini kila mafanikio ni juhudi za Rais na kila baya ni wasaidizi wake!! Taaabu kweli!
 
tens kulikues ns kabinti kanamchekea mbele pale sijui kama kalipona
la hasha
 
Wakuu naomba kuuliza,
hivi kama ingekuwa ni kipindi cha msiba wa mzee Nyerere kuna mtu angethubutu kwenda uwanjani????achilia mbali raisi wa nchi au kiongozi mwingine wa serikali!!
 
Sasa naanza kuelewa iliwezekanaje Jakaya Mrisho Kikwete aliweza kuchaguliwa Raisi na asilimia zaidi 80% ya watanzania mwaka 2005 na huenda akachaguliwa tena 2010. Watu wasioelewa hata maana ya maombolezo ya kitaifa watawezaje kufikiria hata kumchagua kiongozi bora. Ni kweli Marehemu Rashidi Mfaume Kawawa tungeweza kabisa kuamua kumzika asubuhi na tukaendelea na shughuli zetu kama kawaida mchana. Labda watu wangetushangaa lakini kama Taifa tungekuwa na haki kabisa kuamua iwe hivyo kumuenzi kama mchapa kazi na kudai life has to go on!

Lakini tunapotangazia dunia nzima kuwa taifa liko kwenye maombolezo ya siku saba, uamuzi wetu huo lazima uheshimiwe. Ni mataifa mangapi yalilazimika kuhairisha mipango yao katika wiki hiyo ili yatupe muda wa kuomboleza kifo cha simba wa vita. Ni mambo mangapi yenye faida kubwa kwa taifa ilibidi yasifanyike kwa sababu Raisi wetu alitangaza maombolezo ya siku saba. Je, ni kweli tunajua maana ya National Day of mourning kwani kuna watu humu eti wanatetea huu upunguani wa wazi. Ni hawa hawa watanzania wenzetu wanaoshabikia upuuzi hata kwa mambo muhimu.

Kwa nini Raisi hakunyamaza tu asitangaze maombolezo ya siku kadhaa ?
 
- Labda liwekwe darasa hapa nini maana ya National Day of Mourning badala ya kurushiana maneno bila facts, iwekwe hapa what are the standards za hiyo kitu na by who?

- Hii ishu ninaamini inategemea unaingalia toka what angle, otherwise mimi kwenye dini yangu tunafundishwa sana kuto-glorify vifo period! Cha muhimu ni Mzee wetu amezikwa kwa heshima zote affordable Nationally, lakini kusimamisha shughuli muhimu kwa taifa I am not sure, kwa sababu tatizo kama linatakiwa kuwepo, basi linapaswa kuwa kwa nini kulikuwepo na mchezo wa taifa anyways, lakini kulaumu waliokwenda kuangalia mchezo I am not sure kama ni an ishu, lakini again inategemea na the angle one is using to look at this ishu!

- Na siamini kwamba kuwa na huu msimamo on this ishu ni kuwa punguani, mkuu labda ungeomba radhi kwa maneno low sana kwa walio na mtizamo tofauti na wako, undertsanding kwamba huu ni uwanja wa Great Thinkers na ni demokrasia at work! Ni ushauri wa bure tu! kwamba wanaoona tofauti na wewe sio mapunguani kama ulivyodai, ila wanaona tofauti tu na it okay katika demokrasia!

- Unless unakubaliana na Makamba kwamba Butiku na Quaresi ni wehu, au?

Respect.

FMEs!
 
Tatizo lenu wengi mliopo humu lolote atakalofanya muungwana mnaona ni zero kabisa,sidhani kama mnania nzuri na nchi yetu.katika threads zote hii ndo imeniacha hoi, eti rais anaonekana amefanya kosa eti tu kwenda mpirani siku ya msiba.....michezo ni sehem ya kujifariji vilevile, sasa sijui mlitaka afanyaje.afu mnajiita great thinkers.
 
Ndio maana siku zote watu wa kawaida huwa hawawaelewi Philosophers.,
 
Kuna tofauti kati ya kosa na kutotumia busara. Kutotumia busara sio kosa.

Kinachoshaza wengi wetu hapa ni busara iliyotumika kuamua kwa JK kwenda kushangilia mchezo wa kirafiki wa mpira wa miguu kati ya Taifa Stars na Ivory Coast katika kipindi ambacho yeye mwenyewe kwa majonzi makubwa ametangaza msiba mkubwa kwa Taifa, na kutangaza pia wiki moja ya maombolezo, bendera zikiwa nusu mlingoti.

Kwa kifupi, maombolezo yanaweza kutafsiriwa kama ifuatavyo:
[FONT=arial,helvetica,sans-serif]
[/FONT]Mourning is the state of grief which many people enter into after the death of a loved one. [FONT=arial,helvetica,sans-serif]Mourning is "Grief gone public". Taking our internal experience of grief and expressing it outside of ourselves. [/FONT][FONT=arial,helvetica,sans-serif]
[/FONT]

Ni mategemeo ya baadhi yetu kuwa JK, na sio kila mtu, (maana si kweli kuwa kila mtu aliomboleza kifo hicho) alitakiwa kuonyesha kuwa msiba umemgusa kwa kiasi alichotaka Taifa lione alipokuwa akihutubia Taifa kuhusu msiba huo aliouita "Mkubwa kwa Taifa".

Kwakuwa alitamka hivyo, na sisi wengine tulimuona, kwanini sasa alionyesha sura tofauti kwa kuhudhuria mchezo usio na tija kubwa kwa Taifa wakati huo, na kuachana na maombolezo ya msiba mkubwa kwa Taifa?

Mimi na wewe kwenda kuona huo mchezo sio tatizo, kwakuwa si lazima kuwa tumeguswa na msiba huo.
 
1. Mourning is the state of grief which many people enter into after the death of a loved one.
[FONT=arial,helvetica,sans-serif]

2. Mourning is "Grief gone public".
Taking our internal experience of grief and expressing it outside of ourselves.
[/FONT]
- Wakuu mbona tunazidi ku-dance tu, now what this meaning has anything to do na kwenda kuangalia mpira kwa Rais? I do not get it!

Respect.

FMEs!
 
- Wakuu mbona tunazidi ku-dance tu, now what this meaning has anything to do na kwenda kuangalia mpira kwa Rais? I do not get it!

Respect.

FMEs!

Nadhani ina kila kitu kuhusiana na kilichotokea. Unachohitaji ni kusoma/kuangalia kwa makini tu.
 
we babako akifa then within 2 days toka umzike tukuone bar umeshika fimbo ya kuchezea pool unadhani tutakuelewa??in simple terms hatuna rais serious....
Kuna mchezaji hapa Bongo alienda uwanjani kukipiga huku babake akiwa bado hajazikwa. Yupo pia mchezaji wa timu ya taifa ya wanawake alicheza akiwa msibani. Huenda hili ni muendelezo tu.
 
Tatizo lenu wengi mliopo humu lolote atakalofanya muungwana mnaona ni zero kabisa,sidhani kama mnania nzuri na nchi yetu.katika threads zote hii ndo imeniacha hoi, eti rais anaonekana amefanya kosa eti tu kwenda mpirani siku ya msiba.....michezo ni sehem ya kujifariji vilevile, sasa sijui mlitaka afanyaje.afu mnajiita great thinkers.

Mbona riport ya Richmond tulimsifu ingawa kumalizia kashindwa?

Riport ya mapendekezo ya tume ya madini tumesifu ila hatuna uhakika na ufanisi wake.

Kama kafanya la maana kwa nini asisifiwe?

Kwangu mimi ni sawa na hiki kitendo cha Bush kutoa masikitiko na hasira nyingi saana kwa mlipuko uliotokea Izrael. Anasema hadi unaanza kuamini anasema ya MOYONI HASA. Ila wakati anamalizia,.................

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=Z3p9y_OEAdc&feature=related[/ame]
 
- Wakuu mbona tunazidi ku-dance tu, now what this meaning has anything to do na kwenda kuangalia mpira kwa Rais? I do not get it!

Respect.

FMEs!
Mwanakijiji na wanaomsupport wanadai kitendo cha JK kwenda uwanjani ni kama alikua anastarehe wakati kuna maombolezo.
 
Nilidhania taifa liko kwenye maombolezo ya aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais na muasisi wa taifa hili kwa siku saba. Aliyetutangazia maombolezo hayo yuko mpirani kuhamasisha ushindi.. hivi alishindwa hata kujibanza Ikulu kuangalia kwenye big screen na kumtuma waziri mmoja hivi..kweli ilimpasa kwenda?

Alipokufa Nyerere,vitu vingi vilionekana kweli Tanzania ilikuwa kwenye maombolezo.Alipokufa Sokoine pia Taifa lilionyesha kweli lipo kwenye maombolezo.Ni ukweli kabisa haikuwa sababu kwa Mhe.Rais kwenda uwanjani.Kwani mechi yenyewe ilikuwa na umuhimu saana?Angeweza tu kusema kutokana na msiba uliolikumba taifa letu,Rais ameshindwa kuhudhuria mechi na hivyo amemtuma mwakilishi,Waziri mmojawapo mwenye kushughulikia michezo.Kawawa ndio ameondoka,he deserves hizo final respects zake-7 days of mourning!Hapo hakuna tofauti na mtu aliyefunga mfungo siku 40/30,akabakiza siku mbili afungue,kwa sababu tu alikuwa mroho wa pombe,ikabidi afungue kabla ya mfungo kwisha.

I don't have any personal vendetta against anyone BUT kwenye hili,His Excellency pamoja na wakuu wa Protokali/Washauri, were wrong.Hakuna misimamo pamoja na kusimamia kile wanachosema.Pia simaanishi wananchi kutokufanya kazi kwa siku 7,ila ukipewa dhamana na wananchi,tena dhamana ya Uraisi,kuonyesha msimamo ni kitu cha muhimu.

Kuna mtu hapa amesema hii ni karne ya 21,life must go on,NAKUBALI BUT unadhani USA kukitokea msiba wa Raisi wa zamani,halafu Raisi wa sasa alikuwa aende ziarani au afungue kitu,do you think White House watampeleka Raisi kwenye hizo function/ziara?Kwanza media itakavyotoa critics na kumuona hana utu na hathamini mchango wa huyo aliyekufa.The same applies here.Lakini kutokana na hiyo "70%" iliyosemwa kuwa ni "bendera fuata upepo",michango mingi hapa itakuwa kukubali kuwa alichofanya H.E ni sahihi kabisa.

RIP Simba wa Vita!
 
Acheni unafiki Joho la Nyerere, Sokoine, Kawawa nchi hii hakuwa wa kuwafikia. Heshima ya Kawawa kulitumikia taifa haikutakiwa kuendana na haya ya Jk.

Nyerere ilikuwaje? watu walikuwa mpaka hawafungulii mziki baa!
Sokione je?

Kwa sababu Kwawa kafa karne ya 21 basi ndiyo afanyiwe hivi, ikifika karne ya 23 sio ndio mtu akifa watu hawatazika kabisa!, watahama nyumba?? si tunarudi kwa wamasai na waman'gati!! enzi hizo

Kawawa was great, JK na chuki binafsi na Kawawa, that was mocking nothing else!

Kama taifa halina sura ya kifamilia, katika haya mambo, basi hatuna taifa!

kwa nini wasiiibe wee, maana wakifa hawapati heshima yoyote!
 
Back
Top Bottom