Maombi yenu wana JF

Maombi yenu wana JF

Viatu haviuziki Tanzania karibu uganda


images.jpeg
 
Mm namuelewa mtoa mada

Kuna kipindi cha nyuma nasoma msingi, jirani yetu alikuwa na dada wa kazi, kisigino chake kama vile kimelika, yani pale kwenye kisigino ni kama hakuna kitu hvy anatembelea hii sehemu ya mbele ya miguu kuanzia kwenye vidole mpaka karibu na uvungu wa mguu, sehemu inayobaki ipo juu juu akitembea.
 
Baada ya kushiriki vita ya Kongo.. Hatimaye nimefanyiwa operation na nimekatwa nyayo za miguu yote miwili...

Namuomba mungu anisaidie nipone haraka!
ok pole sana,
rafiki yangu Moses Kuria pale Kenya, aliwahi kuungua nyayo za miguu yake baada ya Electric Foot Massager kumlipukia alipopitiwa usingizi. Wewe ulifanyaje ndugu mdau?

Kwa Neema na Baraka za Mungu,
Ninahakika Nawe utapona vizuri tu kama alivyopona rafiki yangu Moses 🐒
 
Back
Top Bottom